Mechi ya Namungo dhidi ya Primiero itachezwa lini?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Baada ya ile kashi kashi ya kule Angola je mechi ya kwanza Namungo atacheza na hawa jamaa lini?
 
jane Lowasa
Shukrani sana!
ila nimecheki baadhi ya saiti wanaandika iko postponed,
flashscore.mobi na zinginezo
 
rich1
anaweza ila miye nitampa goli moja
najua ilo goli moja litakuwa na odds kama siyo 1.50 basi 1.73
nitaweka 100k najua hiyo ni uhakika
 
jane Lowasa
pole sana,
kumbe kuna watu huu usimba na uyanga wanauchukulia serious?
wakati miye nizitumie simba na yanga kutunisha mfuko wangu nyie mnawaza kutengana kwa utimu?
sasa utawatenga wangapi!?
miye huwa nawashangaa mashabiki uchwara wa simba na yanga!
 
Haji anawadanganya hawa mbumbumbu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom