Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
years of existence, Azam FC has become an envy of other Tanzania Mainland Premier League clubs. And born in 2007 also join VPL(Vodacom Premier League) Tanzania Mainland Premier League in season of...
10 Reactions
2K Replies
195K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa mwisho wa Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco. Mchezo huo utafanyika katika...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya. Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka...
4 Reactions
14 Replies
516 Views
Thank You, Moussa Balla Conte
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu mpambano wa ubingwa wa soka Afrika. Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais. Hawa Taifa Stars...
6 Reactions
26 Replies
699 Views
Dirisha Dogo la Usajili kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC (NBCL), NBC Championship League (NBCCL), First League (FL) na Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) msimu wa 2025/2026 limefunguliwa leo Alhamis Januari...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka...
10 Reactions
10 Replies
876 Views
Hatutapumua.. Mara mama this mama that.. Uchawa uchawa tu .. Utasikia mama ameiwezesha.. Sijui mama amefanyaje... Uganda please tupo nyuma yenu pigeni hiyo timu ya Sisiemu... Timu ya wauaji...
12 Reactions
37 Replies
879 Views
Hello Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na...
4 Reactions
75 Replies
3K Views
Inasemekana uwepo wa Makonda kwenye timu hiyo umesababisha chuki kubwa ya wananchi lkwa Timu ya Taifa lao, Huyu mtu ana gundu jamani! Wengi wanaiombea Stars ipigwe mechi zote! Wengine wanaomba...
6 Reactions
67 Replies
1K Views
HII INAWEZEKANA NI REKODI MPYA. Mimi inawezekana ni mara yangu ya kwanza kuona Taifa Stars ikimaliza mchezo dakika zote tisini bila mchezaji yeyote wa Simba kushiriki. Hii pia inatakiwa viongozi...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Hans Rafael ni tapeli anayetumia kipaza sauti cha redio. Kila siku anaaminisha watu kuwa Doumbia ni mchezaji bora kumzidi Aziz Ki. Mpira ni mchezo wa wazi, Doumbia hana maajab hayo. Tunaojua...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best...
2 Reactions
1 Replies
197 Views
Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
8 Reactions
19 Replies
659 Views
Sidhani kama ili nalo linahitaji kubet, ila Nigeria na Tunisia wataingia round ya mtoano. Hao wengine wote mwaka mpya wanakula wakiwa kwao.
3 Reactions
8 Replies
326 Views
Bado sijaelewa watu hawa wanataka nini Kwani Gamond Au Msuva wamekosa nini?
5 Reactions
20 Replies
643 Views
Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda...
5 Reactions
12 Replies
618 Views
Kufungwa kwao jana kuliniuma sana,lakini ndio hivyo asiyekubali kushindwa sio mpinzani.Na ni dhahiri bingwa ni simba au jkt
0 Reactions
0 Replies
202 Views
🔥🔥ℍ𝕆𝕋 𝔼𝕏ℂ𝕃𝕌𝕊𝕀𝕍𝔼 🔥🔥 NTYUKA DRAFT CLUB Present to you THE NATIONAL HEAVYWEIGHT END OF THE YEAR CHAMPIONSHIP CLASH (Tunafunga mwaka kwa mpambano wa kiwango cha Kitaifa) TIMU: DOGO...
2 Reactions
11 Replies
363 Views
Back
Top Bottom