Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi...
3 Reactions
3 Replies
570 Views
Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
9 Reactions
18 Replies
526 Views
Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi...
3 Reactions
20 Replies
806 Views
Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
0 Reactions
8 Replies
915 Views
Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan. Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili. cc Abduli, Mafwele na Muliro.
12 Reactions
19 Replies
751 Views
Ni maajabu sana! sijui hata Imekuwaje, bila huyu mtu stars ingekufa nyingi mno juzi Ni bahati mbaya kwamba Nchi imegawanyika vibaya sana kiasi kwamba wananchi wanataka Timu yetu ipigwe tu...
6 Reactions
16 Replies
413 Views
Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s. Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968...
2 Reactions
10 Replies
922 Views
Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa...
2 Reactions
9 Replies
402 Views
Wakuu samahani Mimi mdogo wenu naitaji ushauri wa haraka ,Kuna demu alinisumbua kama mwezi hivi alikula vyangu jana akasema anakuja magetoni nikaona nimkomoe nikaenda kununua mkongo ili nimkomoe...
3 Reactions
16 Replies
434 Views
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu...
8 Reactions
26 Replies
723 Views
Karibu Simba SC, Kocha Mkuu Steve Barker.
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
4 Reactions
36 Replies
2K Views
“Kikubwa tuwaombee (Taifa Stars), Mwenyezi Mungu awasaidie wawe na nguvu ya ushindani. Nafikiri kwasababu bwana Gamondi anauwezo mkubwa kuliko (kocha) Morocco, Juma (Mgunda), kuliko Mimi, naamini...
3 Reactions
25 Replies
833 Views
Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
9 Reactions
43 Replies
728 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Binafsi ni mpenzi wa football Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6 Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana...
2 Reactions
7 Replies
304 Views
Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF. Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari. Timu lenyewe...
8 Reactions
80 Replies
2K Views
Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo...
45 Reactions
74 Replies
3K Views
Sina mengi sana tuko bar hapa mitaa ya Uyole tunaowashangilia Naigeria wakome na makonda wao ni kipigo cha Mbwa mwizi
8 Reactions
29 Replies
668 Views
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool. Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona...
3 Reactions
3 Replies
398 Views
Back
Top Bottom