Msigwa: Samia anataka mabondia wetu wakapigane Marekani

Msigwa: Samia anataka mabondia wetu wakapigane Marekani

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
419
Reaction score
553
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuelekea pambano la Knockout ya Mama Season 6 ambayo itafanyika kesho Viwanja vya Posta Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.

Katika salamu hizo Ndugu Gerson Msigwa amesema kuwa Dkt Samia Suluhu Hassan anataka mabondia wetu wakapigane katika mataifa makubwa kama vile Marekani,China,Japan huku Serikali itahakikisha kuwa inaendelea kuungana mkono michezo ili vijana watimize ndoto zao.

Katibu Mkuu Gerson Msigwa amezungumza na waandishi Jijini Dar es Salaam na kuipongeza Mafia boxing promotion ambao wameendelea kuinua mchezo wa masumbwi nchini.

Katibu Mkuu Gerson Msigwa amezungumza na waandishi Jijini Dar es Salaam na kuipongeza Mafia boxing promotion ambao wameendelea kuinua mchezo wa masumbwi nchini.

Masumbwi ndio jina la mchezo huo huo wakupigana au?
 
Kwa kauli moja, ela ya goli la mama ikafufue Mabasi ya BRT wale wachezaji wana mishahara na bonus...

Alafu mkifufua mtapata faida, LETS CALL A SPADE NOT A BIG SPOON!
 
Back
Top Bottom