Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa...
Wale watu wa bara waliovamia Dar es salaam kama wanahitaji uongozi Yanga watambue falsafa na misingi ya timu ya Yanga kuwa inaongozwa kwa Dua
Ni swali la kujiuliza watu kutoka bara na ambao...
Ziyech, ambaye ni moja ya wachezaji nyota wa Morocco waliowahi kung’aa kimataifa, alianza safari yake ya soka nchini Uholanzi akiwa na klabu ya Heerenveen, kisha akacheza FC Twente na baadaye Ajax...
Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na...
Klabu ya Simba SC imepata heshima kubwa baada ya kutajwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kuwania Tuzo ya Timu Bora (Club of the Year) kwa mwaka 2025. Tuzo hii inatambua klabu zilizofanya...
I salute you kinsmen
Tayari miloud kashatimuliwa
Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi...
Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM
Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha...
Shomari Kapombe, beki mashuhuri wa Simba SC, amefanya historia baada ya kupitishwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kwenye orodha ya wachezaji 10 bora wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa...
Mlinda mlango chipukizi Cheikh Touré (18) kutoka Senegal ameuawa kikatili nchini Ghana baada ya kutekwa na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wakidai fidia kutoka kwa familia yake.
Kwa mujibu...
MAKALA KAMILI: HERSI SAID NA MWISHO WA ENZI YA UONGOZI WA KUJIPAMBA — YANGA SC KATIKA NJIA PANDA
Utangulizi
Kwa miaka michache, Yanga SC imekuwa mfano wa klabu yenye mabadiliko makubwa ya ndani...
“Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa...
Zikiwa zimepita siku tatu baada ya kuachishwa kazi aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Romain Folz kufuatia kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa mtoano wa Ligi...
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz
Mimi ni foundation ya coaching...
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Chris Hughton, ametimuliwa baada ya timu hiyo kutolewa mapema kwenye mashindano ya kugombea ubingwa wa kandanda barani Afrika (AFCON) yanayoendelea nchini Ivory...
Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.
Yanga, kwa kujifungamanisha na...
Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend.
Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena.
man City sio tishio kabisa.
MAREKANI: Kocha Ruben Amorim amesema yupo tayari kuwarejesha kwenue kikosi chake cha Manchester United ambao hawpao kwenue mipango yake kama hakutakuwa na timu itakayofikia kiwango cha bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.