Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na...
3 Reactions
18 Replies
773 Views
Mlinda mlango wa Gabo utd amenaswa akifukia kitu golini kabla ya mechi dhidi ya Simba SC Benjamini Mkapa stadium. Mambo kama haya huwezi kuyakuta ulaya 😁😁 sasa unaroga afu unafungwa 🤣🤣 atari
4 Reactions
13 Replies
510 Views
Ligi kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo miwili muhimu. mchezo wa kwanza utazikutanisha Singida Black Stars na Mashujaa FC majira ya saa 14:00 mchana. baada ya hapo, kutakuwa na mtanange mkubwa...
2 Reactions
73 Replies
4K Views
Game ya matola nimefurahishwa na uthubutu wake Wa kuanza na kikosi ambacho viungo washambuliaji ni aina ya viungo wanaoweza kukupa kitu IQ ya mpira,kupunguza watu kutokua na ubinafsi japo mpanzu...
4 Reactions
4 Replies
580 Views
Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana...
4 Reactions
18 Replies
845 Views
Habari wakuu… Michuano ya Kombe la Vilabu la Dunia imewadia, ambapo vilabu 32 kutoka mabara tofauti vitapambana kumsaka bingwa kuanzia Juni 14 mpaka Julai 13 nchini Marekani. Hii ni format mpya...
24 Reactions
2K Replies
63K Views
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100% Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae...
16 Reactions
624 Replies
81K Views
Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa...
1 Reactions
0 Replies
245 Views
Gwiji wa England na Liverpool, John Barnes, ametangazwa kuwa amefilisika baada ya kampuni yake ya vyombo vya habari kuingia katika deni la Pauni Milioni 1.5 (Tsh Bilioni 4.9). Imebainika Jumanne...
3 Reactions
5 Replies
407 Views
Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona" Hakuna kitu...
-5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa na mashabiki wenzangu wa young Africans sports, natumai mko poa. Binafsi kwa muda wa misimu kama mitatu hapa nyuma nimekua sifurahishwi na mwenendo wa raisi wa young Africans...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) utafanyika Novemba 29, 2025, jijini Dar es Salaam. Nafasi...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Zawadi ya nyumba aliyopewa Alphonce Simbu na Rais Samia Suluhu Hassan imeibua mjadala mpana, ambapo kwa upande mmoja inatafsiriwa kama ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake katika...
4 Reactions
16 Replies
726 Views
Coach Romain Folz ameshindwa kupata first 11 yake nadhani kichwa kinamuuma na anakosa usingizi Kwa utaalam wangu kwakuwa Nina foundation course ya coaching nitamsaidia Goal keeper 1 Diara...
7 Reactions
17 Replies
842 Views
Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB. Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi...
2 Reactions
2 Replies
316 Views
Wakuu, mnazikumbuka zile ahadi 10 alizotoa mzabuni wa jezi za Simba SC, Jay Rutty? Ni ipi tayari imekamilishwa na zipi bado hazijatekelezwa? si kwa ubaya tunakumbushana usije ukaisha msimu hakuna...
1 Reactions
10 Replies
467 Views
Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, amechukua medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili, dakika tano na sekunde nne ( 2:05:04) kwenye...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Benjamin Whitaker nainjoi Sana pambano zake.
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Back
Top Bottom