Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Chama cha soka nchini morocco wameandika barua ya malalamiko mara baada ya mechi ya hatua ya robo fainali kati ya Morocco na Cameroon kupangiwa marefari kutoka nchini Egypt na Algeria. Refa wa...
1 Reactions
4 Replies
359 Views
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 hatua ya Nusu Fainali dhidi Azam Fc majira ya saa 8:15 usiku. Mshindi katika...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Timu ya taifa ya Gabon imesimamishwa na serikali hadi itakapotangazwa vinginevyo baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Mshambuliaji wa timu hiyo...
2 Reactions
6 Replies
498 Views
Wale mnaowatakia ama kuwaombea mabaya waarabu waondolewe kwenye mashindano haya ya AFCON na wabakie weusi tu mmefeli, tena sio kidogo, hakunaga duaa mbaya kwa mwenzio na ikakubaliwa.... huo ni...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Nimeshuhudia mapokezi ya leo ya Taifa Stars. Kwa maandalizi na ukubwa wa tukio, ni kana kwamba wamechukua ubingwa wa AFCON, ilhali walishia hatua ya 16 bora, na hata kufika hapo walipata nafasi...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Ngoja tusubirie Matokeo.
2 Reactions
30 Replies
647 Views
Leo nimeona kitu cha ajabu ila kwa kuwa hakina mda mrefu nimetoka kuona haya haya afcon tstars vs moroco Mpendwa kaka karia tufike wakati hawa waamuzi msiwabebe tu ili mradi wako znz kama hawana...
1 Reactions
0 Replies
200 Views
Leo kaipigania timu yake ya Mali vibaya sana
5 Reactions
25 Replies
926 Views
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Misri Mohamed Salah amesema timu yake haipo miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu kushinda Kombe la AFCON, lakini amesisitiza kuwa watapambana kwa nguvu zote ili...
3 Reactions
7 Replies
535 Views
Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate...
2 Reactions
20 Replies
480 Views
Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ? Je , unataka na refa...
10 Reactions
20 Replies
518 Views
Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana...
1 Reactions
13 Replies
471 Views
Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine...
5 Reactions
34 Replies
611 Views
Best losers wa Afcon wote washatolewa. Note: Refa katoa fundisho kwa watu fulani fulani nchi fulani.
3 Reactions
5 Replies
255 Views
Club ya Manchester United imetangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Amorim Hatua hiyo imekuja baada ya kikao kilichofanyika leo asubuhi kati ya uongozi na kocha huyo ====== Manchester United...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza. Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (1 - 0) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama...
59 Reactions
66 Replies
2K Views
Nimeamini Watanzania hawajui mpira. Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty Sasa Ile penalty Gani mnataka? Sio kila contact ni faul Ile contact...
7 Reactions
32 Replies
722 Views
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo...
3 Reactions
9 Replies
649 Views
Kwanza wamefungwa... Wekeni picha ya mshindi. Yani M-Morocco Picha ya loser haiwezi kupamba front page ya media... hamuoni hata mapicha ya media za dunia? Pili tunajaribu kuponya akili za...
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Back
Top Bottom