Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mkikutana na Wachezaji huko Mitaani wakataeni na mkiweza muwapige kabisa Ngumi au Vibao vya maana ila nitafurahi zaidi kama Ngumi za uhakika mkiwapiga Viongozi wa Simba SC pamoja na Wajumbe japo...
0 Reactions
6 Replies
458 Views
Nilipoona tu Wachezaji wamegongana na Damu nyingi kutoka kisha Mvua ya Maajabu kunyesha nilijua Kazi imeisha.
1 Reactions
4 Replies
352 Views
Usela Mavi (Nnya) ule huwa tunafanya katika Mashindano yetu ya Kihuni Mitaani, ila siyo katika Michuano ya Kimataifa na mikubwa kama ya AFCON. Kugomea upigwaji wa Penati katika Mechi ya Fainali...
0 Reactions
16 Replies
347 Views
AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group...
6 Reactions
3K Replies
27K Views
Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Shirikisho la kimataifa la soka FIFA limetoa orodha mpya ya timu bora za soka mwaka huu wa 2026. Morocco wamepanda kwa kiwango kikubwa zaidi katika timu za wanaume wakifika hadi nafasi ya...
2 Reactions
2 Replies
658 Views
Wakuu, Kuna watu wanasema kwamba wanafuatilia riadha ila huyu jamaa hawezi kumtambua
1 Reactions
7 Replies
371 Views
Je ( Tanzania , Uganda na Kenya) wame jipanga ipasavyo ku host Afcon 2026/2027?
1 Reactions
5 Replies
205 Views
Todays match : simba SC vs Mtibwa Sugar. ligi kuu inarejea tena leo baada ya mapumziko mafupi.... first eleven all the best Simba SC 🦁
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Afrika Mashariki PAMOJA AFCON 2027 tayari imekabidhiwa kwa viongozi wa Tanzania, Kenya na Uganda tayari kwa Kombe la Mataifa 2027. Upande wa Tanzania umewakilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni...
1 Reactions
3 Replies
388 Views
Wikiendi hii mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka katika viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko...
3 Reactions
1 Replies
695 Views
Hii yote ni hofu na imani za kichawi wa kufikirika.
1 Reactions
15 Replies
333 Views
Kwa mujibu wa katiba ya Simba viongozi wote wa kuchaguliwa wanafika ukomo mwezi huu mwishoni. Hadi sasa wanasimba hatuoni dalili yoyote ya uchaguzi tukimaanisha hakuna kamati iliyotangazwa kwa...
2 Reactions
10 Replies
400 Views
NI mara ya pili mfululizo timu zinazopambana na mwemyeji wa AFCON 2025 Morocco kulalamika mashabiki wake kunyimwa tiketi huku wenyeji wakitamba kununua tiketi zote. Inajulikana soka ni biashara...
1 Reactions
3 Replies
332 Views
https://youtu.be/tG4B0NtWDd8
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Tunahitaji kuona makundi ya kijamii yenye mitazamo tofauti yakionyesha mshikamano na undugu pia. Tunahitaji mechi zifuatazo; 1. Wasabato vs Wakatoliki 2. CCM vs CHADEMA 3. Maustaadh vs Wamiliki...
2 Reactions
24 Replies
549 Views
Nje ya uwanja vyombo vya habari nchini Mali vimeripoti kukamatwa bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sinayogo ,ambaye ni Mganga wa kienyeji , hii baada ya kudaiwa kupokea jumla ya €33,500 [Tsh...
3 Reactions
19 Replies
713 Views
Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu. Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu. Huku...
7 Reactions
127 Replies
1K Views
Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya...
1 Reactions
13 Replies
503 Views
Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika...
2 Reactions
10 Replies
988 Views
Back
Top Bottom