Hakuna penalty pale, Referee mwehu ndo angetoa ile penalty

Hakuna penalty pale, Referee mwehu ndo angetoa ile penalty

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,867
Reaction score
39,857
Nimeamini Watanzania hawajui mpira.
Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty
Sasa Ile penalty Gani mnataka?
Sio kila contact ni faul
Ile contact ilikuwa nyepesi mno
Idd Nado alijilegeza na alijitega na kujiandaa Kwa mtego ili mwamzi ampe penality

Me nasema Kwa matukio mengine referee alikuwa na double standard aliwapa Taifa stars yellow cards ila Kwa Morocco hakutoa

Ila Ile haikuwa penalty
Binafsi me na foundation course yangu ya coaching Ile sio penalty

Anyway: tutunze amani, amani ndo tunu ya Afcon, tusizue taharuki,
Screenshot_20260105-083013.png
 
Nimeamini Watanzania hawajui mpira.
Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty
Sasa Ile penalty Gani mnataka?
Sio kila contact ni faul
Ile contact ilikuwa nyepesi mno
Idd Nado alijilegeza na alijitega na kujiandaa Kwa mtego ili mwamzi ampe penality

Me nasema Kwa matukio mengine referee alikuwa na double standard aliwapa Taifa stars yellow cards ila Kwa Morocco hakutoa

Ila Ile haikuwa penalty
Binafsi me na foundation course yangu ya coaching Ile sio penalty

Anyway: tutunze amani, amani ndo tunu ya Afcon, tusizue taharuki, View attachment 3525487
Kachambue maharage mpira hauuwezi
 
Sasa kama kuandika tu huwezi,huo ukocha unaujua kweli? eti mwamzi,sio mwamzi ni mwamuzi.Pale kulikuwa na matukio 2,la kwanza nado alivutwa ni kosa linastahili pigo la penati,pili aliangushwa nalo linastahili pigo la peneti,sasa wewe hiyo elimu awali ya ukocha ni ipi?
 
Nakuelewa sana mleta mada.

Anyway kikubwa refa aliamua kuchagua kulinda amani kwa wamorocco, maana amani ndio kila kitu popote pale.

Just imagine Samia Stars wangepewa ile penalty, halafu wakafunga kisha wakapelekana extratime, kwenye extratime hiyo wakashindwa kufungana...

...hatimae mikwaju ya penalty ikaamua mshindi halafu kwa bahati mbaya Morocco wakatupwa nje ya michuano maana penati hazinaga mwenyewe..

...wewe unafikiri baada ya hapo hali ingeendelea kuwa shwari pale Morocco?? Unafikiri hiyo michuano ingefanyika kwa amani tena? Ukizingatia timu yenyewe iliyowatoa ni non football nation a.k.a samia stars?

Tumshukuru refa kwa kufanya maamuzi sahihi tena ya busara kwa kuminya haki hili amani itawale maana amani ndio kila kitu kuliko hata uhai wa mwanadamu.
 
🎙️ Emmanuel Okwi:
“Watanzania bado hawajajifunza kudai haki ipasavyo. Pale haikutosha kulalamika tu; ilipaswa kupambana hadi mwamuzi aende kuangalia VAR. Ikiwa ingelazimu, hata kugoma kuendelea na mchezo mpaka haki itendeke. Haki hailetwi kwa kuombwa, bali hulazimishwa kwa msimamo thabiti.”
 
Nambie ni madhambi gani Nado kafanyiwa
Labda nikuelimishe kidogo kwa nini ile ni penalty ya wazi.

Iddy Nado ndio aliyekua na umiliki wa mpira hivyo mchezaji wa Morroco hakuangaika kudeal na mpira zaidi ya contact yake kwa Nado ni kumsukuma tu. Hilo pekee likasababisha Nado kupoteza body balance na umiliki wa mpira.

Kama Iddy Nado alijiangusha ilipaswa apewe kadi ya njano lakini haikua ivyo.
 
Back
Top Bottom