Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naaaam, natoa kongole kwa uongozi wa yanga kwa kumuona Nabi nakumleta jangwani hivi Sasa tunaona matunda yake. Nabi anaweza akapanga kikosi mpaka ukasema huyu kocha anataka kuingia na mfumo gani...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Nauliza Azam tv kwanini mnatuwekea matangazo kuwa mtaonesha mechi za kufuzu AFCON lakini hamuoneshi?? kwanini?? nawauliza swali? cc PNC
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya...
0 Reactions
5 Replies
790 Views
Mlinzi wa Timu ya Taifa Stars, Dickson Job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo kati ya Tanzania dhidi ya wenyeji Uganda The Cranes uliopigwa katika dimba la Suez Canal, Ismailia Misri...
7 Reactions
69 Replies
4K Views
Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki. Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Afcon 1980 Pan Afrika ilitoa wachezaji wengi kwny kikosi sababu ya uwekezaji kwny soka la vijana uliofanya klabu Young Africans!! Katikati ya miaka 70 Yanga ilikua na timu ya vijana yenye vipaji...
1 Reactions
0 Replies
411 Views
Nimekua nikifuatilia sana hili sakata la Feitoto kwa pande zote mbili, lakini nimegundua bwana mdogo kuna mtu nyuma yake akimrubuni na kumvimbisha kichwa bwana mdogo Feisal Salum. Ukitazama clip...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kila Siku Mo Dewji husema anapata hasara katika Uwekezaji wake binafsi huwa simuelewi cha Msingi ni kuwa mashabiki wa Simba huwa wanamuelewa anapiwaambia hivyo. Nina imani kwa sasa kila moenda...
3 Reactions
9 Replies
901 Views
Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye? Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu. "Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania Watakubali ila...
20 Reactions
62 Replies
6K Views
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye...
2 Reactions
16 Replies
11K Views
Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax. ~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa...
2 Reactions
6 Replies
857 Views
Naweka pembeni kabisa usimba na yanga Sasa nazungumza Kama mdau wa mpira nikiwa na nia ya dhati kabisa nakulitakia mafanikio taifa langu kwenye tasnia ya mpira. Naam, hakika tunawachezaji wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Bojan Krkic Perez, mzaliwa wa Catalunya, Spain miaka 32 iliyopita hatmaye ametangaza kusatafu kabumbu. Bojan ambaye akiwa katika shule ya soka (akademi) ya Barcelona (La Masia) alikuwa anatajwa...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa! Kuna wakati niliwahi kumwambia...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom