Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka...
1 Reactions
2 Replies
719 Views
Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo nimepata fursa ya kushuhudia huyu Kijana akicheza dakika zake 13 hapa Misri. Kwa jicho langu la kiufundi huyu dogo ili acheze vizuri anahitaji hamasa sana hasa kutoka kwa mashabiki. Pia ni...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye uzi, Siku za hivi karibuni huyu kijana amekuwa ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili. Ofcoz...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane. Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji...
20 Reactions
77 Replies
6K Views
Mfano Jana msuva ana 7.3 Samata pia ana 7.3 Ila watu wanamsifu msuva na kumlaumu Samata.. Bacca ana 7.8 afu Dismas ana 8.0 lakini watu wanamsifu zaidi bacca. Hivyo hivyo kwenye kiungo Himid ana...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya. Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji...
1 Reactions
15 Replies
956 Views
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Kama mashabiki wa Simba hakika tumekubali unyonge sema tu hakuna la kumfanya huyu big boss wetu, naye ameshalijua hilo. Anaongea analojisikia, anafanya analojisikia, mara Rais wa heshima, akajipa...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Karibuni tena katika mechi kubwa ya kimataifa baina ya miamba wa soka hapa Afrika ya Mashariki, Uganda dhidi ya Tanzania katika kutafuta nafasi ya kufuzu Afcon 2023. Mechi hii itapigwa kuanzia...
6 Reactions
245 Replies
18K Views
Akihojiwa na Grobal online tv, Raisi wa heshima wa Simba ambaye pia ndiye mwekezaji pekee wa klabu hiyo ndugu Mohamed Dewji ametoa majibu haya.... Swali: Kumekuwa na Taarifa kuwa kwenye Usajili...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
''Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa...
6 Reactions
74 Replies
7K Views
Tanzania nakupenda nchi yangu hongereni sana vijana wetu hakika leo mmejitoa kila mtu kafanya majukumu yake, hongera sana benchi zima la ufundi hongereni mashabiki mliojitokeza kuipa joto Taifa...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Miaka ya nyuma hawa watu walioitwa wachambuzi wa kandanda akiwemo Shaffih Dauda na wenzie wametupiga sana ndoige kuhusu Kandanda na historia yake ni...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM Eng. Hersi Said amewashukia baadhi ya wadau wa soka nchini Tanzania walioibua hoja inayogusa udhamini wa kampuni hiyo kwenye klabu za Ligi Kuu Tanzania...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa...
2 Reactions
5 Replies
779 Views
1. Aishi manula 2. Kibwana shomari 3. Kuhende 4. Job Dick 5. Mwamnyeto 6. Sospeter bajana 7. Msuva Simone 8. Yusuph Kagoma 9. Samata 10. Feitoto 11. Sopu Kocha ukipanga tofauti na hapo tunapigwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa? Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Picha: Julian Nagelsmann Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom