Jamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo
Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea
Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu
Respect kwa kocha...
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa...
Mashabiki wa bayern munich wanalalamika Sadio Mane haonyeshi kile alichokifanya Liverpool kwa miaka mitano
Ila kwa watu wa mpira tulimuona Sadio Mane msimu wa mwisho akiwa Liverpool alikuwa hoi...
WAKATI ligi mbalimbali zikielekea ukingoni, kuna rundo la wachezaji wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha waliyoyapata katika majukumu yao msimu huu na wengine hawajatumikia kabisa hata mchezo...
Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
Vijana Wana kesho nyingi sana waacheni watembee polepole kuepuka kujikwaa.
Timu kubwa zina Zina mabenchi Bora ya ufundi na vitendekeakazi vingi, hivyo vina jukumu la kuibua vipaji vipya kwenye...
Ni hatari aiseeeeh
=======
Mechi ya ligi ya daraja la kwanza Colombia iliahirishwa baada ya shabiki kuingia uwanjani na kumshambulia mchezaji ambapo mchezaji huyo alimkimbiza shabiki na...
Ni wazi kabisa kuwa Taifa Stars haivutii wengi, hivyo ni mkakati wa kulazimisha uwanja ujae.
Ndiyo maana unaona tiketi zinagawiwa bure bure tu nadhani had saivi zimefika 30,000 hivi za bure+15000...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Serikali kwa kushirikiana na Wadau itahakikisha inapaza sauti kuhusu mchezo wa Gofu ili umma upate uelewa kuhusu umuhimu wa...
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.
KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya...
Mpira wetu haukui kwa sababu ya ushirikina, hiki ni kitu ambacho tunatakiwa kupiga vita dhidi ya hizi Imani potofu katika hii tasnia ya mpira wetu.
Nimeshangazwa sana na shabiki wa mpira...
Uyu bwana mdogo toka amekuwa promoted first team ya Azam FC anaupiga sana tena nadhani mwaka huu yuko bora kuliko mwaka jana
Toka mechi ya Zesco dogo anaonekana anauhai sana uwanjani na anacheza...
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Sports, Mohammed Dewji Mo, kwa mara ya kwanza amezungumzia mahusiano yake na aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo Haji Manara na kudai kuwa Manara amekuwa akimtukana...
Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa.
Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani...
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa...
SERIKALI YAKABIDHI TIKETI ELFU 20 KWA TFF
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ndg. Saidi Yakubu amekabidhi tiketi Elfu 20 Kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.