Ukweli mchungu ni kuwa Yanga havuki hatua ya makundi

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,899
3,641
Ndugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo

Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia

Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.

That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu

Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.

Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.

Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.

Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu

Wanapita tp mazembe
Na us monastir

Mwisho WA siku

Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
 
ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo

Mwisho WA siku

Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Huyo Monastir anafungwa Dar, subiri kuumia roho tu.
Matokeo ya mwisho
Monastir 13
Yanga 10
Mazembe 07
Real Bamako 02
 
Ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo

Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia

Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.

That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu

Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.

Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.

Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.

Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu

Wanapita tp mazembe
Na us monastir

Mwisho WA siku

Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Umetumia jicho gani hilo
 
Huenda maneno yako yakawa na ukweli lakini jua kuwa Tanga hii sio sawa na ile, hawa Monastir inabidi tupambane haswa hii ni fainali
 
Ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo

Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia

Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.

That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu

Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.

Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.

Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.

Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu

Wanapita tp mazembe
Na us monastir

Mwisho WA siku

Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Jamani ndugu zangu wanasimba ukweli mchungu ni kwamba hatuvuki hatua ya makundi maana pamoja na kwamba tumemfunga Vipers home and away tusidhani tutamfunga na Horoya kwa mkapa ukiachilia mbali yule Raja casablanca ambae atatupiga dazani tukienda arabuni. Faken
 
Ndugu zangu WAna yanga pamoja ya kuwa tumemfunga geita gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi WA geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo

Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia

Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.

That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu

Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.

Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.

Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.

Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu

Wanapita tp mazembe
Na us monastir

Mwisho WA siku

Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts
Unasemaa?!
 
Yanga congo ni nyumbani kabisa
Nusu ya wachezaji ni wazawa huko

Naweza sema tu akwenda uwanja wa nyumbani
Wa congoman

1. Joyce Lomalisa
2. Shaban Djuma
3. Yaniki Bangala
4.Jesus Moloko
5. Tuisila Kisinda
6. Fiston Mayele

Hapo ikiweka diara tayar kikosi kimekamilika
Kinatosh kabisa kuangamiza mazembe
 
Back
Top Bottom