Hakika Prof Nabi ni mpishi mzuri wa wachezaji

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,382
12,946
Naaaam, natoa kongole kwa uongozi wa yanga kwa kumuona Nabi nakumleta jangwani hivi Sasa tunaona matunda yake.

Nabi anaweza akapanga kikosi mpaka ukasema huyu kocha anataka kuingia na mfumo gani lakini mpira ukichezwa ndiyo unajua alikua ana maanisha Nini.

Ndiyoooo, Nabi anastahili sifa na kongole nyingi kwa maana kazi zake anazifanya kisawasawa,

Nani alijua kuwa feisal atakuja kucheza namba kumi?
Jibu hapana ila Nabi kaja kamtoa feisal toka namba sita mpaka namba kumi na akaleta matokeo mazuri mpaka makocha wengi wa nchi hii wakatamani wapate mchezaji Kama feisal kwenye timu zao.

Tizama ya kibwana shomari alisajiliwa Kama beki wakulia lakini alipofika kwenye mikono salama ya Prof Nabi akabadilishwa na kuwa beki hatari la kushoto.
Beki kiraka tegemezi ndani ya yanga kushoto anakichafua na kulia pia anakichafua.

Mtazame mudathi yahaya, gemu dhidi ya TP Mazembe ni nani alitegemea kuwa angecheza namba kumi??? Jibu hakuna lakini Prof Nabi katuonyesha kuwa muda anacheza hiyo namba na matokeo yakapatikana mazuri.

Huyo ndiyo kocha, kocha la mpira kocha haswa haswa, na usijekushangaa siku mayele anacheza namba mbili Hilo linawezekana kwa Prof Nabi.

NB: Kama Unabisha mwambieni kocha wenu ambadili sawadogo au kanuti acheze namba kumi.
 
Mwananchi ooyeeee!!!
 
Kila mchezaji ni mzuri ndio maana yuko pale.

Hizi sifa zinatokana na kushinda match, kitafika kipindi Yanga watakuwa wanatoa sare au kupoteza match, na tutasikia mengine.
Waambie.... Ni upepo tu wa kawaida kwenye mpira
 
Mpira wa Tanzania UMEVAMIWA na "MBUMBUMBU".
"Yanga wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na Mzee Manara"

HIVI NABI NI PROFESA??????
 
Watanzania mna tabia za kijinga za kuwapenda watu kwenye nyakati nzuri.Mkifungwa kidogo mnaanza kumchukia na kutaka afukuzwe.NAUNGANA NA JAMAA ALIESEMA MNA ROHO MBAYA NA TUISHI NANYI KWA AKILI.
 
Mzee wa sambaroketo pasaka atafika kweli pale msimbazi
 
Yaani kushinda tu na tp mazembe ndio maneno yote haya siku mkija kushinda na al ahly mtasema apewe team ya taifa kazi kweli kweli tunayo mazembe wameleta balaa mjini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom