Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila la kheri Jean Charles Ahoua mr Top Scorer Yapo mengi utayakumbuka kuhusu ligi kuu Tanzania Yapo mengi utayahadithia kuhusu Boli la Tanzania Ila kuondoka bila Tuzo Yako,Kuondoka bila...
4 Reactions
39 Replies
706 Views
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda...
29 Reactions
229 Replies
13K Views
Naona kabisa hawataki kuchukua kombe.
3 Reactions
14 Replies
324 Views
25 January 2026 Nairobi, Kenya Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea...
1 Reactions
1 Replies
266 Views
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama...
17 Reactions
74 Replies
5K Views
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking. Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali...
27 Reactions
315 Replies
16K Views
Dah huyu jamaa nmfananisha na Nabii Lema Kila kinachongelewa nae kinatokea Majuzi kabla ya mechi aliulizwa vipi mnaenda kutoa utamu 🇹🇳 Jibu zuri kabisa utamu mpaka ufungwe mara 2...mara 3 sio...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Japo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.
2 Reactions
12 Replies
455 Views
ALISIKIKA MLEVI MMOJA SHABIKI WA SIMBA RAHIM SAID AKA DK MANGUNGU KIJANA BAADA YA MECHI ALISEMA KWA UWEZA WA ALLAH TUTAFIKA ROBO TUKAULIZA YA SUKARI YA MCHELE YAKAANZA MATUSI ILA HATIMAE...
1 Reactions
6 Replies
223 Views
Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
2 Reactions
8 Replies
291 Views
GAZETI LA MWANASPOT SIMBA YAWEKA REKODI MPYA YA VIPIGO CAF TANGU ...... HATA HIVYO WANACHAMA WAMESEMA WAFANYE WAFANYAVYO WAO WANAITAKA ROBO FINALI 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 NAPITATU
2 Reactions
8 Replies
372 Views
  • Closed
Fas Rabat kayakanyaga huko Ft 0-0 Yanga kazi kwenu Mshindwe wenyewe amani
3 Reactions
3 Replies
312 Views
AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi...
16 Reactions
384 Replies
7K Views
Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
8 Reactions
15 Replies
629 Views
The Oval Windhoek, Namibia West Indies vs Tanzania highlights ll world cup 2026 highlights Mori umepanda juu katika timu ya Tanzania, mashindano ya Kombe la kwanza la Dunia Cricket la #U19...
1 Reactions
1 Replies
144 Views
CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”. Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa. CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa...
2 Reactions
8 Replies
571 Views
Klabu ya Simba SC imemrejesha rasmi kiungo wake wa zamani, Clatous Chama, akitokea klabu ya Singida Black Stars. Hii ni mara ya tatu kwa Chama kujiunga na wekundu wa Msimbazi, baada ya awali...
2 Reactions
15 Replies
931 Views
Asilimia kubwa ya Mashabiki wa Simba wamekuwa na Mihemko ya kukosoa na kuona kila kitu kinachofanywa na uongozi ni kibaya,hivyo wao kila kitu ni kulalamika tu,wakijazwa upepo na mashabiki wa...
8 Reactions
41 Replies
757 Views
Back
Top Bottom