Wachezaji gani walistahili kutwaa Ballon D'or?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Frank Ribery mmoja wa wachezaji bora katika miaka 10 iliyopita.

NAAMINI kama sio kivuli cha Leo Messi na Ronaldo, kuna nyakati fulani huyu jamaa alistahili kubeba tuzo hiyo.

Tuwataje wachezaji ambao kwa michango yao uwanjani kwenye timu zao kwa nyakati tofauti walistahili kubeba tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia lakini wakasahaulika.
 
Kwa miaka ya karibuni naona FIFA wanataka kutuaminisha kuwa ili uwe mchezaji bora ni lazima uwe na magoli mengi. Labda tusubir messi na ronaldo wapite huenda tuzo zitarudia hali yake.
Ok mkuu na uwepo wa Infantino labda anaweza akaleta changamoto mpya kwenye tuzo hiyo.
 
Uchukuaji wa balon d'or kwa players wengine hususani wa kizazi hiki,ni mpaka RONALDO&MESSI mmojawapo au wote watundike daruga ndo tutaona sasa kina Neymar,griezman,hazard,bale n.k wakiingia vitani kuweka nao Vita vyao.
[HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG]&mtazamo wng.
 
Back
Top Bottom