Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini...
1 Reactions
3 Replies
275 Views
Teofimo kapigana mapambano 23. Kashinda 22 kapoteza 1 Shakur kapigana 24 kashinda zote. Mpambano unaanza saa 8:15 ahsubuhi hii. Mwenye link atuwekee hapa Utabiri wangu Lopez Huyu muhuni atashinda.
2 Reactions
1 Replies
116 Views
Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli...
3 Reactions
10 Replies
256 Views
Na tokea ajue kuwa anaaminika haraka na Mashabiki Wapumbavu na Washamba wa Mpira wengi Klabuni basi nae ndiyo anawapeleka hivyo hivyo Kipumbavu Kipumbavu huku akiwadanganya kwa mengi tu...
4 Reactions
152 Replies
1K Views
Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
2 Reactions
18 Replies
832 Views
Huyu mdau wa mpira anaonekana hali vizuri au ana ugonjwa. Lakini asemacho kinafikirisha sana.
8 Reactions
67 Replies
2K Views
Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Arsenal na Manchester United umeamalizika kwa ushindi kutoka kwa mashetani wekundu Man United wa goli tatu kwa mbili.
4 Reactions
28 Replies
898 Views
I still wonder why some people say that the champions league is better than the premier league. This premier league is the most tough, hardest and competitive leagues in the world. Victor...
2 Reactions
6 Replies
318 Views
Baada ya Sisco kushindikana katika madraft Tanzania nzima , leo saa 5 usiku Kuna pambano EXCLUSIVE Timu: Mkulima Vs Sisco(Confirmed ) Mdhamini: Boss Java Zawadi: 60,000 (Sisco anatakiwa azuie...
21 Reactions
690 Replies
49K Views
Game itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili yanga watatawala mpakamwisho ushauri yanga washambulie mwanzo mwisho wasijilinde 2-1 2-0 1-0 all d best yanga
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada...
5 Reactions
10 Replies
333 Views
Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar. Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata...
1 Reactions
4 Replies
407 Views
Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal...
3 Reactions
14 Replies
632 Views
Ni furaha yangu kuona timu ambazo hazithamini damu za mashabiki wao waliouawa kwenye mauaji ya kimbari ya mwishoni mwa mwezi Oktoba zikifingwa. Hamna timu ilituma salamu za rambirambi kwa...
9 Reactions
14 Replies
267 Views
GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata...
8 Reactions
15 Replies
520 Views
Mechi kali Wikiendi hii Januari 31 na Februari 1, 2026 Jumamosi Leeds Vs Arsenal- Saa 12:00 Jioni ( Elland Road) Chelsea Vs West Ham -saa 2:30 Usiku ( Stamford Bridge) Liverpool Vs Newcastle-...
1 Reactions
2 Replies
668 Views
A public clash between Uganda' s Football president (FUFA) Engineer Moses Magogo and Sports Minister Peter Ogwang over AFCON 2027 budgeting has exposed a deeper power struggle in Uganda’s sports...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Last night’s Champions League fixture will go down as one of the most dramatic -and controversial -nights in modern European football as one of the European Giants Real Madrid fails to go through...
1 Reactions
10 Replies
507 Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya...
1 Reactions
2 Replies
670 Views
Wakuu wa hili jukwaa, haswa wale wakongwe katika soka, mje mtujuze nani alikuwa bora haswaa katika eneo la golikipa kati ya golikipa wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Peter Manyika na mlinda...
1 Reactions
74 Replies
15K Views
Back
Top Bottom