Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutokana na miundombinu ya uwanja huo kutokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
1 Reactions
4 Replies
262 Views
Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi. Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya...
3 Reactions
5 Replies
393 Views
Ngojeni leo niwasanueni Mashabiki Wapumbavu na Washamba wa Timu yangu pendwa ya Simba SC kwa msilolijua. Ukweli ni kwamba huu Usajili wa mfululizo mnaouona unafanywa / umefanyika ni wa Kimkakati...
2 Reactions
11 Replies
335 Views
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) na Young Africans , Peter Manyika amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya St. Monica ya Jijini Dar es Salaam. Manyika aliyewahi...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape, niko bored huku kijijini.
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Times Fm ni redio ya michezo siku nzima, sasa katika hali isiyo ya kawaida leo wanapiga kile kibao cha Ubongo Kids kinachokwenda kwa jina la "Sifuri ni nini". Huu wimbo mbona hauhusiani na...
3 Reactions
9 Replies
479 Views
John Heche ameandika TFF ni shrikisho la kisiasa, linafanya siasa na mwisho wa siku linatia aibu… Mpira haupaswi kuwa na itikadi wala dini.. Karia you are a disgrace.
11 Reactions
26 Replies
672 Views
Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
3 Reactions
19 Replies
719 Views
Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' ) LIGI: NBC premier League ⚽🏆 Game: Simba SC v/s Singida Black Stars SC Tarehe: 28-05-2025 Uwanja: KMC Complex Muda: Saa kumi jioni ni mechi ya...
3 Reactions
271 Replies
16K Views
  • Featured
Mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco katika hatua ya 16 Bora ya AFCON 2025 unapigwa leo Januari 4, 2026, katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat, Morocco. Huu ni mchezo wa kihistoria kwa...
6 Reactions
375 Replies
10K Views
Yaani kabisa GENTAMYCINE niseme jambo la Kiuchambuzi wa Kina ambalo nina uhakika nalo 100% lisitimie? Nilishasema tumeshatoka CAFCL Kitambo tu hivyo tujikite zaidi na kupambana katika NBC Premier...
4 Reactions
16 Replies
465 Views
Shalom shalom wana simba Hii mechi yetu itakuwa ngumu sana kuliko wenzetu wa jana Hivyo ombi langu kwa mungu tujiandae kisaikolojia na msingi wa mawazo tusipate afya ya akili ghafla.. Wakati...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Kama kichwa cha habari kinavoonesha hapo juu, ni site ipi nzuri kwa kuangalia mechi za ulaya live
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Pape Thiaw ameomba radhi mashabiki wa soka baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) kumalizika wakiibuka mabingwa. "Hatukukubali...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
25 January 2026 Amaan Stadium Zanzibar Tanzania MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026 Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo...
0 Reactions
3 Replies
286 Views
Habari zenu ndugu zangu. Naomba mnitajie web zinazorusha epl maana kulipia dstv imeshakua balaha. Ahsanteni.
1 Reactions
2 Replies
229 Views
Huu ndio msimamo ulivyo sasa UTABIRI WANGU: 1: Arsenal 2: Man City 3: Aston Villa 4: Man Utd 5: Chelsea 6: Liverpool
1 Reactions
14 Replies
415 Views
Back
Top Bottom