Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Robo fainali CAF ya moto, Waarabu uhakika. https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/robo-fainali-caf-yamoto-waarabu-uhakika-5362462
1 Reactions
0 Replies
246 Views
Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
5 Reactions
21 Replies
421 Views
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa kuipa Simba majibu ya kinachoendelea kuhusu mchakato wa mabadiliko ya mfumo...
5 Reactions
13 Replies
590 Views
Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu...
4 Reactions
11 Replies
498 Views
Tungeweka wapi sura zetu waja wako
2 Reactions
3 Replies
252 Views
  • Featured
Kocha Miguel Gamondi leo Februari 16, 2026 amesaini mkataba rasmi wa kuinoa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda...
0 Reactions
6 Replies
744 Views
Baada ya timu zetu (klab) pendwa kuondolewa "bila zengwe" katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF, nimejifunza mambo kadhaa; 1. Ni kweli kabisa kwamba mpira wetu ni kivyetuvyetu...
0 Reactions
3 Replies
221 Views
Ingekuwa ni ajabu sana kwa Nchi iliyojaa madimbwi ya damu kwa timu zake kufuzu, Hicho kilichotokea ndio halali Yake Asante Mungu kwa kusikia kilio cha Wananchi, Amen.
23 Reactions
47 Replies
1K Views
Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka...
6 Reactions
15 Replies
415 Views
Mume akiwa na UKIMWI na akamuambukiza UKIMWI Mkewe kamwe usitegemee Mume akifa na Mke nae hatokufa nao.
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Hii ni kwa sababu huko ina mashabiki wengi kuliko Tanganyika na inashangiliwa sana. Kingine ni kwamba ina bahati sana na Zanzibar inashinda sana huko Ina wachezaji kadhaa Wazanzibar na hata Mama...
5 Reactions
7 Replies
244 Views
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya...
12 Reactions
27 Replies
844 Views
  • Featured
--- Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Vyura wamerudi matopeni. Red black Vincenzo Jr Mbaga Jr, what's up!
6 Reactions
22 Replies
409 Views
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
190 Views
BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Uganda’s political landscape is shifting once again after Persis Namuganza, the State Minister for Lands, Housing and Urban Development (Housing), officially joins the race for Speaker of...
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Back
Top Bottom