Mashabiki wa soka wanatarajia michezo ya kusisimua wikiendi hii, ambapo EPL itakuwa na pambano la kuvutia. Arsenal itakutana na Sunderland baada ya sare ya bao 2-2 katika mechi ya kwanza...
Kwako boss Mo,
Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations...
Simba SC inakutana na Petro Atlético katika mchezo wa Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) unaopigwa Jioni leo Februari 7, 2026, kwenye uwanja wa Estádio 11 de Novembro. Mechi ya...
Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la...
AFCON 2027
Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea
Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili...
🟩🟨[emoji834]Wanatumia hela zao kwenda kucheza michuano ambayo hawamo. Hakika kuna watu wanatumia hela vibaya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora makolo wangekacha...
LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO
KAKA DIDY
NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN
YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI...
...Six years after Bruno Fernandes arrived at Manchester United, his impact deserves an assessment that goes beyond praise or Criticism.
Statistically, Bruno has been one of United’s most...
Kipa Robert Sanchez alifanya makosa yaliyosababisha mabao mawili kati ya matatu ya Arsenal katika mechi ya kusisimua ya mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao lakini Alejandro...
Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.