Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.
Sasa nikiwaza...
RS Berkane
Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The...
Hapa nawasema wana Simba SC wote kuwa tuendelee tu kudhani kuwa kile Kipigo cha Juzi kutoka kwa Azam FC labda walibahatisha tu Kwetu hivyo hata tukicheza nao leo Mechi ya Kushtukiza hawawezi...
Hakuna Mtu ambaye GENTAMYCINE simkubali ndani ya Simba SC kama Msemaji Ahmed Ali kwakuwa namjua ni mwana Yanga SC 100% na kila nikiwasanua Wapuuzi hapa hawanielewi.
Kocha Matola ni Mkakati Maalum...
Kinda wa klabu ya mpira ya Barcelona na Timu ya taifa Uhispania Lamine Yamal usiku wa leo anaenda kufanya maajabu dhidi ya Chelsea kwenye klabu bingwa ulaya.
Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na...
Friends of Simba wamerudi kazini
TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends...
Halafu mwambieni pamoja na kuhudhuria kuangalia Mechi za Simba SC na Mazoezi hatumtaki kabisa tena hakuna Mchezaji aliyetuumiza wana Simba SC kama Yeye kwakuwa tulimpenda kutokana na Kipaji chake...
Wakuu,
Marafiki wa Simba ( Friends of Simba,) ndio wanaoimaliza Simba. Mfahamu hatutofanikiwa bila kuachana na hili kundi lote. Utulivu Yanga ni sababu timu kapewa GSM na hakuna anayeingilia hata...
Mshambuliaji Mohamed Salah hatimaye amesaini mkataba mpya kuendelea kubaki Liverpool kwa mshahara wa Pauni 350,000 kwa wiki baada ya mvutano wa muda mrefu kuhusu suala la Mkataba wake ambao...
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev pamoja na Wasaidizi wake wawili.
Kwa sasa kikosi kitabaki chini ya Kocha...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman...
Haya hawa wapa leo nawatakieni tena....
1. Msemaji Ahmed Ali
2. Mwenyekiti Murtaza Mangungu
3. Kocha Suleiman Matola
4. Meneja Patrick Rweymamu
5. Mkuu wa Itifaki Makoye
6. Aliyekuwa Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.