Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa...
3 Reactions
11 Replies
941 Views
Klabu ya Singida Black Stars imemsimamisha kazi miezi mitatu kiungo wake Khalid Aucho raia wa Uganda kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini. Uamuzi huo umetolewa Februari 27, 2026 na Kamati ya...
4 Reactions
5 Replies
330 Views
Msimu huu lengo ni kutwaa ubingwa wa EPL.Yan toka nambari 15 hadi 11 ya 7 na sasa ya nne,tumeonyesha kuwa bado matumaini tunayo.lengo letu red devils ni mafanikwa na hapa EPL hamn timu yenye...
4 Reactions
22 Replies
337 Views
Yan nkiwa kama shabiki wa yanga naisubria derby hi kwa hamu.Nikajionee mtanange huo wamababe.maana naona mnyama akifa,kwa kula 3 mtungi
2 Reactions
13 Replies
245 Views
ANGALIZO > NJIA HII HAIKUBARI KWENYE AVIATOR ZOTE . Kabla hatujaenda moja kwa moja kwenye mbinu tuanze kwanza kuelewa Algorithm ya mchezo , Michezo mingi kama sio yote ya casino ime designiwa...
2 Reactions
8 Replies
938 Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amezungumzia sakata la mshambuliaji wa klabu hiyo, Jonathan Sowah, na kuthibitisha kuwa walimuondoa kambini Dodoma na kumrejesha Dar es...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
shalom wote wapendwa najua mzee wetu ha na amani kabisaa derby ya tar 1 naomba niwajulishe kuna mchezaji atatoka amefunga goli 3 pale wakijichanganya anavunja recodi ya kibaden kima la...
3 Reactions
7 Replies
265 Views
Ushauri wangu ni huu🤝🤝🤝🤝🤝🤝👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025 Mechi ipo live Salama zinatumwa Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania Magoli ya Yanga yamefungwa...
3 Reactions
13 Replies
508 Views
Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Walihamaki wana Simba walipomwona mwamba anapanda botii huwiii na mgonjwa anaenda znz jamani kha Akicheza huyu 3 mpaka 5 zinawahusu Simba noko kwa masawe
3 Reactions
4 Replies
314 Views
Wapenzi watazamaji na mashabiki kindakindaki wa Simba karibuni kwenye matangazo mbashara ya mpira kati ya Simba na Dodoma Jiji kutoka uwanja wa Jamhuri. Mechi hii inachezwa leo tarehe 25.02.2025...
5 Reactions
76 Replies
2K Views
Na kibaya zaidi pia hata uwezo wa Kumfunga huna na sana sana Ushindi wako mkubwa labda tu iwe ni Sare Dabini.
2 Reactions
5 Replies
339 Views
  • Redirect
Wanangu wa kubeti chukuweni notis hii hapa najua itakuwa ngumu sana kuaminika kwasababu wengi wenu wanaamini ni impossible na wengine wataniuliza kwanini mimi sijabeti hivo 😀😃😄 ila any way huu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
1 Reactions
9 Replies
521 Views
  • Redirect
HAKA KATIMU KANABEBWA HAKABEBEKI KAMEBEBWA NA PENALTY NA LEO KANABEBWA NA REFA NA DK KHAA MOIRA WA KIJEHANUM KABISA
0 Reactions
– Replies
– Views
yaan mzee anazeeka na ucheshi wakee leoo katufurahishaaa sana anakwambia yanga n mbovu kama hujakutana ukikutana nayo utaweza jutia kwa nn uliingia uwanjani HAHAHAA 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 DON MASAU...
3 Reactions
6 Replies
397 Views
Hizi habari sio nzuri sana kwa baadhi ya wananchi wapenda soka hasa wale wapenzi wa timu za derby Niko huku msata mpaka sasa kuna timu inapigwa goli 3 -mpaka 5 Yaani hii n siku ya huxuni na kuna...
1 Reactions
3 Replies
183 Views
Wale mliokaribu wajuzeni wachezaji mchezo wa derby kkutakuwa na red card ama penalty Wacheze kwa adabu na heshima sana refa atakaekuwepo n kama amekuwa chambo mistake za kadi hatorembesha Hali...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Majira ya kiangazi, Man Utd waliingia sokoni na kushusha silaha nzito pale mbele. Sesko, Mbeumo na Cunha waliwasili Old Trafford kuongeza nguvu kwenye idara ya ushambulizi. Baada ya mechi mbili...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom