Huyu dogo wa timu ya taifa ya Argentina na club ya Ureno Benfica Gianluca Pristianni alimuita Vini Jr Mshambualiaji wa Real Madrid nyani na kumzibia pua wakati yeye mwenyewe sura yake anafanana na...
Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na...
Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa.
Wa kutuokoa ni Mola tu
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa...
Rekodi ya 6–0 ya mwaka 1977 ni moja ya matukio makubwa na yenye kumbukumbu ya kudumu katika historia ya soka nchini Tanzania, hasa katika upinzani wa jadi kati ya klabu za Simba SC na Young...
Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha.
Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima...
Timu namba nane kwa ubora Afrika inaogopa mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulijua mmejifunza ya msimu uliopita kumbe bado
Mnaongozwa na wendawazimu ndo maama visababu vya nje ya uwanja...
Hivi mnataka GENTAMYCINE niwasaidieni vipi nyie Viongozi wa Simba SC? Kwanini mnanikera hivi kila tunapokaribia kucheza na Yanga SC? Nani aliyewaambieni kuwa Simba na Yanga wakielekea Kucheza...
Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso".
Hivi...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi.
Kusema na ukweli yanga...
Unaweza kudhani ni jambo la kawaida, lakini huu ni Mkakati Maalum.
Timu hizi ni za Tanganyika n.a. washabiki n.a. wanachama wake kwa % kubwa ni Watanganyika, kupeleka Timu hizi Zanzibar ni...
Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale...
Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya...
Ligi kubwa duniani kama English Premier League (EPL) na LaLiga hazijawahi kuogopa sekta ya betting wala kuweka wazi kuwa Shirikisho la soka la FA litatafuta kampuni moja pekee kwa ajili ya michezo...
The Zimbabwean Chevrons remain unbeaten in Group B at the #T20WorldCup, showcasing grit, skill, and determination in every match. Fans are celebrating as the team continues its march toward the...
Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya.
Nashukuru serikali...
Hapo vip!
Ipo hivi Simba ndio mzaliwa wa kwanza wa soka au mpira wa football hapa Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Simba ndio timu peke iliyopo na ambaya imefika na kufauluvkuingia kwenye top...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.