Azam na Yanga sio Derby tena, Derby sasa hivi ni Ihefu vs Yanga

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Derby gan kila mnapocheza iwe uwanja wa Tandika mabatini, iwe uwanja wa Bandari, iwe uwanja wa kinesi, iwe uwanja wa mkwakwani, iwe uwanja wa mkapa, iwe uwanja wenu wenyewe wa chamazi, iwe uwanja wa sokoine mbeya, iwe uwanja wa mpira nachingwea, uwanja wa mpira Namfua na hata pale Bunju nyie watu wa kufungwa tu.

Hakuna Derby hiyo, Derby ni mchezo ambao matokeo yake huwezi kubashiri, sasa nyie kila mnapocheza na Yanga mmekuwa malofa kishenzi, hamjielewi hata kidogo, mnafungwa kila cku hadi imefikia hatua sasa mmekosa ladha.

Mlimfukuza Beki wa zamani wa Sigara Idd Nassoro Cheche mkidai anahujumu timu.

Mlimfukuza Kalimangonga Ongala mkidai aliwauza kwenye fainal kule mkwakwani na hao hao Utopolo.

Ila mkicheza na Simba mnajifanya wababe, mna miguvu kama shetani, mnajituma sanaaaaaa ili muonekane na watu wa jangwani watu wa maaana.
 
Derby gan kila mnapocheza iwe uwanja wa Tandika mabatini, iwe uwanja wa Bandari, iwe uwanja wa kinesi, iwe uwanja wa ajifanya wababe, mna miguvu kama shetani, mnajituma sanaaaaaa ili muonekane na watu wa jangwani watu wa maaana.
Na vipi Azam vs Simba

Ni derby au siyo derby?
 
Derby gan kila mnapocheza iwe uwanja wa Tandika mabatini, iwe uwanja wa Bandari, iwe uwanja wa kinesi, iwe uwanja wa mkwakwani, iwe uwanja wa mkapa, iwe uwanja wenu wenyewe wa chamazi, iwe uwanja wa sokoine mbeya, iwe uwanja wa mpira nachingwea, uwanja wa mpira Namfua na hata pale Bunju nyie watu wa kufungwa tu.

Hakuna Derby hiyo, Derby ni mchezo ambao matokeo yake huwezi kubashiri, sasa nyie kila mnapocheza na Yanga mmekuwa malofa kishenzi, hamjielewi hata kidogo, mnafungwa kila cku hadi imefikia hatua sasa mmekosa ladha.

Mlimfukuza Beki wa zamani wa Sigara Idd Nassoro Cheche mkidai anahujumu timu.

Mlimfukuza Kalimangonga Ongala mkidai aliwauza kwenye fainal kule mkwakwani na hao hao Utopolo.

Ila mkicheza na Simba mnajifanya wababe, mna miguvu kama shetani, mnajituma sanaaaaaa ili muonekane na watu wa jangwani watu wa maaana.
Utasema nakuchukia, lakini wewe ni KILAZA.
Hii uliyoandika hapa ndo maana ya Derby?
 
Unaelewa maana ya derby?
 
Una elewa maana ya Derby wewe kolo?
 
Una Maana Yanga vs Azam Kwani Ni Watani
Azam Ya Juzi

Derby Ni Simba vs Yanga Tu
Kwani tafsiri ya Derby ni watani?
Azam vs Yanga au Azam vs Simba inayoitwa Dar es salaam derby huku Simba na Yanga imenogeshwa zaidi kwa wote wanatoka Kariakoo inatwa Kariakoo derby.
 
Back
Top Bottom