Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
1,008
2,384
SALAAM WAKUU.

Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi Afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani.

Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako pindi unapokutana nae. Leo katika kuangalia rekodi nimegundua kuwa Simba ndio yenye rekodi bora zaidi dhidi ya Al Ahly kwa timu za Afrika mashariki kwani hakuna mbabe kati yao.

SIMBA VS AL AHLY.
MECHI 8.
SIMBA AMESHINDA 3.
DRAW 2.
AL AHLY AMESHINDA 3.

NB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.
 
Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo Simba alifungwa 5-0, baadae Match ilivyoamia Tanzania Simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania Simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.

Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA

SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2

TOTAL MTCH - 6
 
Leo ndio nimeamini uchawi kwenye mpira upo,kipindi Cha kwanza kina Tau walikua wakifika golini ,badala ya kufunga ,wanakua hawaelewi cha kufanya.wanaishia kupoteza,bila hivyo leo ilikua iishe 5 -1
 
IMG-20231024-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom