Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukiangalia gemu ya jana Yanga anakula vyuma vitatu dhidi ya waAlgeria ni kama Jana Yanga walijisahau wakahisi wanacheza na Pamba ya Mwanza au Lipuli ya Iringa na kusahau wale ni professional...
3 Reactions
6 Replies
923 Views
Sioni Benchika akitoboa pale Simba SC. Jamaa hana mpira mzuri wa kuvutia, Alipokuja Dar ma USM Alger alizidiwa possession na pia second leg tena wakiwa na home advantage wakazidiwa possession na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote . Mabondia hawa...
15 Reactions
68 Replies
49K Views
Leo baada ya mechi uwanjani Simba waliamua kupandisha wachezaji kwenye magari madogo kama Alphad na Noah ili wasijulikane baada ya kuona usalama ni mdogo nje ya uwanja. Hata walipotoka walikuta...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo. Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania...
13 Reactions
85 Replies
5K Views
Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya. Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Huu mfumo wa 4:2:3:1 ni mfumo mbovu kwenye mashindano ya kimataifa yenye waamuzi wazuri na teknolojia ya VAR, Huo mfumo huzalisha offside nyingi pia unaruhusu mashambulizi ya pembeni, huu mfumo...
1 Reactions
8 Replies
794 Views
Baada ya kuutuzama kiufundi mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa Africa baina ya yangu Yanga sc dhidi ya CR Belouizdad ya nchini Algeria nafikiri uongozi wa Yanga sc unapaswa kuzinduka haraka ikiwa...
6 Reactions
8 Replies
783 Views
24 November 2023 Vancouver, Canada Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa...
2 Reactions
2 Replies
881 Views
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi. Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba...
0 Reactions
6 Replies
896 Views
Sio leo wala jana kila Yanga wanapocheza na mtani wake wanapita mlango usio rasmi, na wanajua adhabu yake, ina maana kuwa kuna watu uwanja wa mkapa wana mawasiliano na uongozi wa yanga kuhusu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mpaka Sasa ndani ya uongozi wa Simba haifahamiki Nani wa kulaumiwa katika suala la usajili. Head of scouting au wazee wa ten percent? Walioiba chezaji la CAF(Fabrice Ngoma) pale airport...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia...
4 Reactions
13 Replies
985 Views
Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake. Klabu ya Simba...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu kipa ijapo hajafungwa lakini anaonekana hana kabisa character ya ukipa. Anadaka kama kipa wa timu ya veterans Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
16 Replies
874 Views
Tamko alilolitamka Try again kuwa "Rais wa FIFA aliniambia kuwa Simba sc imecheza mpira mzuri kuliko Mamelod sondowns" Kwa akili ya kawaida unaweza usimuelewe lakini ukifikiri kiundani kabisa...
3 Reactions
10 Replies
859 Views
Back
Top Bottom