Aliyewafungulia Yanga mlango usio rasmi amechukuliwa hatua gani mbona kila mwaka wanafanya hivyo

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Sio leo wala jana kila Yanga wanapocheza na mtani wake wanapita mlango usio rasmi, na wanajua adhabu yake, ina maana kuwa kuna watu uwanja wa mkapa wana mawasiliano na uongozi wa yanga kuhusu mageti ya kutumia pale uwanjani, yanga walishaongea na watu pale uwanjani kuwa watapitia geti fulani hvo siku ya mechi mwenye ufunguo akae standby, ni jambo la siri linalofanyika.

Huu mchezo imeshakuwa tabia, najiuliza nani aliwapa funguo au nani aliwaruhusu wapitie mlango mwingine? Aliyewaruhusu amechukuliwa hatua gani, mnaponyamazia mambo haya kwann tusiamini kuwa nyie sio waadilifu? Huyo aliyewapitisha mlango usio rasmi amefanywa nn? TFF mmechukua hatua kumjulisha meneja wa uwanja kuhusu matukio hayo?

Pili, picha zinaonyesha matukio ya Jesus Moloko akifukia ndumba kwenye kona na mwenzake anamwagia maji, kamati inasema hakuna ushahidi wowote kuhusu ushirikina? Kweli jamani, kweli jamani, jamani ni kweli lakini, ujinga mtupu.
 
Wewe ndo huwa unafunga huo mlango? Au ukisikia neno mlango akili yako inajua tu kua umefungwa na funguo.

Hujui kuna milango iko wazi na haifungwi kwa sababu maalumu ama dharula.
Najua sababu maalum na dharura ila hiyo dharula kama ngeni kwangu
 
Sio leo wala jana kila Yanga wanapocheza na mtani wake wanapita mlango usio rasmi, na wanajua adhabu yake, ina maana kuwa kuna watu uwanja wa mkapa wana mawasiliano na uongozi wa yanga kuhusu mageti ya kutumia pale uwanjani, yanga walishaongea na watu pale uwanjani kuwa watapitia geti fulani hvo siku ya mechi mwenye ufunguo akae standby, ni jambo la siri linalofanyika.

Huu mchezo imeshakuwa tabia, najiuliza nani aliwapa funguo au nani aliwaruhusu wapitie mlango mwingine? Aliyewaruhusu amechukuliwa hatua gani, mnaponyamazia mambo haya kwann tusiamini kuwa nyie sio waadilifu? Huyo aliyewapitisha mlango usio rasmi amefanywa nn? TFF mmechukua hatua kumjulisha meneja wa uwanja kuhusu matukio hayo?

Pili, picha zinaonyesha matukio ya Jesus Moloko akifukia ndumba kwenye kona na mwenzake anamwagia maji, kamati inasema hakuna ushahidi wowote kuhusu ushirikina? Kweli jamani, kweli jamani, jamani ni kweli lakini, ujinga mtupu.
Take it easy bro mbona yashapita na matokeo yanajulikana na kama hujayapata jaribu kuzinguka kidogo katika jiji la chalamila tumeweka kumbukumbu incase kama umepoteza kumbu kumbu! Tugange yajayo japo bado naona kuna maafa zaidi
 
Sio leo wala jana kila Yanga wanapocheza na mtani wake wanapita mlango usio rasmi, na wanajua adhabu yake, ina maana kuwa kuna watu uwanja wa mkapa wana mawasiliano na uongozi wa yanga kuhusu mageti ya kutumia pale uwanjani, yanga walishaongea na watu pale uwanjani kuwa watapitia geti fulani hvo siku ya mechi mwenye ufunguo akae standby, ni jambo la siri linalofanyika.

Huu mchezo imeshakuwa tabia, najiuliza nani aliwapa funguo au nani aliwaruhusu wapitie mlango mwingine? Aliyewaruhusu amechukuliwa hatua gani, mnaponyamazia mambo haya kwann tusiamini kuwa nyie sio waadilifu? Huyo aliyewapitisha mlango usio rasmi amefanywa nn? TFF mmechukua hatua kumjulisha meneja wa uwanja kuhusu matukio hayo?

Pili, picha zinaonyesha matukio ya Jesus Moloko akifukia ndumba kwenye kona na mwenzake anamwagia maji, kamati inasema hakuna ushahidi wowote kuhusu ushirikina? Kweli jamani, kweli jamani, jamani ni kweli lakini, ujinga mtupu.
Pitaaa na wewe
 
Na vipi kuhusu simba kuchelewa kuingia uwanjani kwa dakika 4!! Ni kiongozi gani aliyesababisha huo uzembe utokea, kiasi cha kisababisha timu kutozwa faini?
 
Back
Top Bottom