Try again aendelea kumuenzi Rage aliyesema kuwa "mashabiki wa Simba sc ni mbumbumbu"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Tamko alilolitamka Try again kuwa "Rais wa FIFA aliniambia kuwa Simba sc imecheza mpira mzuri kuliko Mamelod sondowns"

Kwa akili ya kawaida unaweza usimuelewe lakini ukifikiri kiundani kabisa unaiona taswira ya viongozi wa Simba sc wanawadharau sana mashabiki nakuona kuwa wao hawafatilii mpira kabisa.

Viongozi wa Simba sc wanadhani kuwa bado mashabiki wapo analogy na siyo digital na bado wanahisi mashabiki wa Simba sc wanasikiliza mpira kwenye redio na si kuutazama.

Sijui try again aliwaza Nini mpaka kuongea kitu Kama hiki au alishawajulia /kuwaona mashabiki wanapenda kudanganywa??

Sasa naanza kuelewa ile kauli ya Rage aliyoitamka kuwa "mashabiki wa Simba sc ni mambumbumbu"

Ukitazama suala la Mwenyekiti Mangungu kumleta Manzoki na kuwaahidi mashabiki kuwa atasajiliwa Simba sc na mwisho wa siku ikawa ndivyo sivyo ,Ni dhahiri na ipo wazi kuwa viongozi wa Simba sc walishawajulia mashabiki kuwa wanapenda kuongipewa.

Matamko ya Ahmed Ally kwenye press Ni tofauti kabisa na kile anachokitamka likija suala la utekelezaji na hiyo inatokana kuwa mpira ni mchezo wa wazi na siyo mchezo wa kujifungia chumbani.

Maoni Yangu: Viongozi wa Simba sc waache uongo usiokuwa na mantiki kwani mashabiki Sasa wameelimika na hiki ni kizazi Cha digitally ukitamka neno la uongo watu wanakwenda YouTube.

Na ninachukua fursa hii kumuambia ndugu kiongozi Try again akarejee clip za mameload na clip za Simba sc Kisha athibitishe alichokisema Raisi wa FIFA kipo sahihi.??

Nawasilisha hoja.
 
Ndiyo kifuta machozi kwa mlivyomanuliwa na wekundu wa Algeria?
 
Back
Top Bottom