Nawatakia Kila La Kheri Watani Simba Sc Dhidi Ya Wydad Casablanca

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,604
188,817
Habari Watani (Simba Sc).

Nawatakia Kila Jema Juu Ya Mchezo Wenu Wa Leg 2 Dhidi Ya Wydad Casablanca Utakaochezwa Siku Ya Leo Jumanne Uwanjani Wa Benjamin Mkapa.

Mkipoteza Mchezo Huu Ni Sawa Na Kujipiga Dagger Usawa Wa Bandama Bila Kupepesa Macho Nafasi Na Ndoto Yenu Ya Kusonga Mbele Itaishia Hapo.

Utaratibu Wenu Wa Kwenda Uwanjani Na Kurukaruka Dakika Tisini Na Mnasababisha Kulitia Taifa Aibu Kwa Kupigwa Nyingi, Leo Mjitahidi Hata Mpunguze Idadi Ya Magoli Tu.

Sina Mengi Watani.
 
Niko kwa fundi a.k.a mtaalamu a.k.a sangoma hapa Mbagala Maji Matitu (sijui kama mnaelewa maana ya "Matitu"). Erythrocyte njoo uwatafsirie.

Hapa Mbagala Maji Matitu kuna mtaalamu toka Kalela Nkurunkuru-Lyamba lya Mfipa. Amenithibitisha pasipo shaka kwamba matokeo yatakuwa mazuri:-

Simba 2 - 0 Wydad Athletic Casablanca
Nitakutafuta baada ya dakika 90 kumalizika
 
Niko kwa fundi a.k.a mtaalamu a.k.a sangoma hapa Mbagala Maji Matitu (sijui kama mnaelewa maana ya "Matitu"). Erythrocyte njoo uwatafsirie.

Hapa Mbagala Maji Matitu kuna mtaalamu toka Kalela Nkurunkuru-Lyamba lya Mfipa. Amenithibitisha pasipo shaka kwamba matokeo yatakuwa mazuri:-

Simba 2 - 0 Wydad Athletic Casablanca
Kwa kinyakyusa Matitu maana yake meusi
 
Nampigia simu muda huu kumuuliza mtaalamu (wakati huu wa half time) kujua kama kuna mabadiliko kwenye matokeo lkn bahati mbaya hapokei simu
 
Niko kwa fundi a.k.a mtaalamu a.k.a sangoma hapa Mbagala Maji Matitu (sijui kama mnaelewa maana ya "Matitu"). Erythrocyte njoo uwatafsirie.

Hapa Mbagala Maji Matitu kuna mtaalamu toka Kalela Nkurunkuru-Lyamba lya Mfipa. Amenithibitisha pasipo shaka kwamba matokeo yatakuwa mazuri:-

Simba 2 - 0 Wydad Athletic Casablanca
mtaalamu kama mtaalamu
 
Naona Hadi Idadi Ya Magoli Mlikuwa Nayo

Back
Top Bottom