Ali kamwe: Diara ni namba sita mzuri ukiachana na u kipa

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,784
24,217
"Kwenye mazoezi Diara anacheza namba sita, huwa anamwambia Mshery kaa golini nishikie kidogo kwanza, ngoja nikakae na Sure Boy pale."- Ali Kamwe, @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga akimzungumzia ubora mwingine wa mlinda mlango, Djigui Diarra katika Kipindi cha Jambo Wikiendi TBC1.

1703954182575.jpg
 
Yan toka nikutane na hi tuhuma kwamba Huyu dogo ni mke wa rais ,Yanga ishanikinai kabisaa. Sitak hata kuisikia
Acha uzwazwa wewe. Kwa kuwa wewe ni mke wa mtu usimzushie kila mtu. Hivi kwanini nyie mashoga mnaamini kila mtu duniani ni shoga? Pia haya yameingiaje kwenye mada tajwa? Huko Dar inaonekana ni rahisi sana mwanaume kuvuliwa Ubingwa. Pumbavu mkubwa wewe.
 
Mhmm! Tuhuma Mbaya sana...!!! Mungu aepushe
Siku hizi haya majamaa yanayokobolewa kazi yao ni kuzushia kila mtu shoga. Sasa ilikuwa inahusiana nini yeye kutuletea habari za mtu kama ni shoga? Na hii ndio changamoto ya member wa JF kwa sasa kupakazia watu ushoga na ulawiti bila kujali kuwa hao wanaopakaziwa wana familia, ndugu na jamaa.
 
Mpuuzi kabisa huyo dogo. Atuambie yeye nani anamla tako maana wamezidi pakazia watu ushoga bila kujali kuwa wana familia, ndugu na jamaa. Hawajui wala hawajali namna wanavyoumiza wenzao kihisia. Wao ni kupakazia tu. Hii sio sawa kabisa.
Vijana tunakosa utu
 
Back
Top Bottom