Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live. Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Ukosefu wa uzalendo Kushiba makande Kutopenda kujituma na uvivu na kuwaza ngono ? Au Akili ndogo au ni laana ya Mwenge? Aibu kwenu
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi naanza cha kwangu. Ronwell Williams Chancel Mbemba Henock Inonga Thuliso Mudau Arthur Masuaku Theboho Mokoena Frank Kessie Themba zwane Oumar diakite Ezzalzouli Emilio Nsue Subs...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ameshangazwa na uamuzi wa kocha wa klabu ya Liverpool ya Uingereza Urgen Klopp kuamua kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu. Klopp amesema...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Ikifungwa watabili huibuka na kuweka itabili wao wa mwisho wa msimu. Ikishinda wanapoteaaaa. Daaaaah nchi ngumu sana hiii
1 Reactions
3 Replies
853 Views
Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25. Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Niwatahadharishe kwamba,kile mnachokikimbia Dar,tayari wahuni wapo Pemba wakitafuta kuzindika uwanja wa Amaan ili msikwepe dhahama yoyote. Wapo wameanza kutoa misaada huko Pemba.Ni bora mpambane...
2 Reactions
5 Replies
540 Views
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu. ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya. Tanzania sijaona...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na...
2 Reactions
4 Replies
735 Views
Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36. Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia...
4 Reactions
5 Replies
856 Views
Wakuu, Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu. Katikati ya kipindi Kuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimegundua watanzania wengi hawajui mpira.. REJEA MECHI YA TAR.2/FEB KAGERA vs YANGA. hivi kwa akili ya kawaida lile linawezekana vipi kuwa goli?..au hizo camera za azam zinazochelewesha matukio...
1 Reactions
15 Replies
959 Views
Embu vuta picha timu zote zilizo pita 16 Bora wote Ni ma machemba na Kam IPO timu isiyo na machemba Basi Ni South Africa ila wote walio pita ni timu zenye machemba na vijna walio Shiba mihili na...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Mapopo wananyanyua ndoo AFCON. Majamaa yana dhiki ya mafanikio
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆...
20 Reactions
140 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…