Azam FC: Kocha mkuu ni nani, ni Yusuf Fabo au Bruno Ferry?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Wakuu,

Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu.

Katikati ya kipindi Kuna mjadala UKAZUKA ( kujitokeza ) na kuleta ubishani mkubwa bila kuwa na makubaliano, eti Kati ya Yusuf dabo ( msenegali) na Bruno fery Nani kocha mkuu wa Azam fc??

Binafsi, nilishawahi kuwaza hii kitu, hasa kwenye mechi za azam....hususani Ni kwa sisi tunao angalia kupitia azamTv, pale mechi inapoanza azamTv wakichapisha jina kwa Azam jina la kocha mkuu siku zote Ni Bruno fery (kwa wanao fuatilia mpira Hili wanalijua)

Pia kwa mujibu wa wachambuzi hao wa EA radio baada ya kuwa na mkanganyiko baina Yao, wapo wanao sema Yusuf Dabo ndio kocha mkuu kwa mujibu wa Azam Fc Kama club husika

Kwa upande wa Bruno fery yeye ndio anajulikana na TFF Kama kocha mkuu ( na ndio maana azamTv wanamtambua, kwa ufikiri wa kawaida )

Wakuu, Sasa hapa ni Nani kocha MKUU wa Azam???....Kwanini TFF wanamtambua Bruno??? na azamfc wenyewe wanamtambua Yusuf dabo???

Hii inafikirisha Sana, labda sijui kitu nipo hapa kujifunza, karibuni!!!!

Nawasilisha!!
 
Maelezo zaidi mkuu kwanini???....mbona tff anajulikana Bruno fery??
Ni kwasababu ya leseni, huyo Bruno Fery ametambulishwa na Azam TFF kama kocha mkuu sababu leseni yake imekidhi vigezo. Lakini wao Azam wanajua kwao ni kocha msaidizi. Ni sawasawa na ilivyokuwa kwa Gomez na Hitimana
Simba walimtambua Hitimana kama kocha msaidizi lakini kule CAF alitambulika kama kocha mkuu
 
Lakini kwa hitimana na Gomes inshu ilikuwa na leseni za UEFA Kama sijakosea, Tena Sana Sana Ni kuhusu mechi za kimataifa na sio za ndani.

Kama Ni same scenario...kwanini Azam Fc waendelee kumngangania Bruno fery while Azam walishatolewa kwenye mashindano ya CAFCC mda TU???, Nahisi hoja YAKo bado sio sahihi mkuu samahani mkuu!!
 
Hao watangazaji wa EA ndio wachambuzi tulionao,
Kama wachambuzi hawaelewi kitu simple kilichotolewa maelezo mara kibao kama hicho wataelewa nn sasa
 
Ni vizuri na wewe mkuu ukatupa mawazo yako kulingana na hoja hapo juu, na wao ni binadamu hawawezi Kujua kila kitu.
 
Uku kwetu Tff Wana kanuni zao za ki poyoyo.
Kama uliangalia Mapinduzi cup utagundua kocha mkuu ni Dabo ila Tff uwa Kuna muda wanakua na mambo Yao ya kikuda yaliyopelekea Dabo kuonekana msaidizi na msaidizi kuwa kocha kwa kanuni za Tff.

Azam hawasumbuliwi na upuuzi wa Tff kwakua mambo Yao yanakwenda vizuri.
 
Wakuu,

Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu.

Katikati ya kipindi Kuna mjadala UKAZUKA ( kujitokeza ) na kuleta ubishani mkubwa bila kuwa na makubaliano, eti Kati ya Yusuf dabo ( msenegali) na Bruno fery Nani kocha mkuu wa Azam fc??

Binafsi, nilishawahi kuwaza hii kitu, hasa kwenye mechi za azam....hususani Ni kwa sisi tunao angalia kupitia azamTv, pale mechi inapoanza azamTv wakichapisha jina kwa Azam jina la kocha mkuu siku zote Ni Bruno fery (kwa wanao fuatilia mpira Hili wanalijua)

Pia kwa mujibu wa wachambuzi hao wa EA radio baada ya kuwa na mkanganyiko baina Yao, wapo wanao sema Yusuf Dabo ndio kocha mkuu kwa mujibu wa Azam Fc Kama club husika

Kwa upande wa Bruno fery yeye ndio anajulikana na TFF Kama kocha mkuu ( na ndio maana azamTv wanamtambua, kwa ufikiri wa kawaida )

Wakuu, Sasa hapa ni Nani kocha MKUU wa Azam???....Kwanini TFF wanamtambua Bruno??? na azamfc wenyewe wanamtambua Yusuf dabo???

Hii inafikirisha Sana, labda sijui kitu nipo hapa kujifunza, karibuni!!!!

Nawasilisha!!
Kwa jina Bruno Ferry ndo kucha mkuu, ila KIMAMLAKA na KIUTENDAJI, Yusuf Dabo ndo kocha mkuu
 
Kivipi mkuu?? Unamaanisha Bruno ferry Ni kocha jina TU??? Ilikuwa na umuhimu gani Sasa wa yeye kuwa Azam fc
 
Uku kwetu Tff Wana kanuni zao za ki poyoyo.
Kama uliangalia Mapinduzi cup utagundua kocha mkuu ni Dabo ila Tff uwa Kuna muda wanakua na mambo Yao ya kikuda yaliyopelekea Dabo kuonekana msaidizi na msaidizi kuwa kocha kwa kanuni za Tff.

Azam hawasumbuliwi na upuuzi wa Tff kwakua mambo Yao yanakwenda vizuri.
Hizo kanuni Ni zipi mkuu??
 
Kivipi mkuu?? Unamaanisha Bruno ferry Ni kocha jina TU??? Ilikuwa na umuhimu gani Sasa wa yeye kuwa Azam fc
Siyo kocha jina
Bruno ni kocha msaidizi(ndani ya Azam club) ila kwa kuwa ana vigezo vinavyotambulika na TFF kuwa kocha mkuu dhidi ya dabo ndio maana kule TFF anatambulika kama kocha mkuu na dabo kocha msaidizi
 
Wakuu,

Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu.

Katikati ya kipindi Kuna mjadala UKAZUKA ( kujitokeza ) na kuleta ubishani mkubwa bila kuwa na makubaliano, eti Kati ya Yusuf dabo ( msenegali) na Bruno fery Nani kocha mkuu wa Azam fc??

Binafsi, nilishawahi kuwaza hii kitu, hasa kwenye mechi za azam....hususani Ni kwa sisi tunao angalia kupitia azamTv, pale mechi inapoanza azamTv wakichapisha jina kwa Azam jina la kocha mkuu siku zote Ni Bruno fery (kwa wanao fuatilia mpira Hili wanalijua)

Pia kwa mujibu wa wachambuzi hao wa EA radio baada ya kuwa na mkanganyiko baina Yao, wapo wanao sema Yusuf Dabo ndio kocha mkuu kwa mujibu wa Azam Fc Kama club husika

Kwa upande wa Bruno fery yeye ndio anajulikana na TFF Kama kocha mkuu ( na ndio maana azamTv wanamtambua, kwa ufikiri wa kawaida )

Wakuu, Sasa hapa ni Nani kocha MKUU wa Azam???....Kwanini TFF wanamtambua Bruno??? na azamfc wenyewe wanamtambua Yusuf dabo???

Hii inafikirisha Sana, labda sijui kitu nipo hapa kujifunza, karibuni!!!!

Nawasilisha!!
Wote makocha wakuu
 
Lakini kwa hitimana na Gomes inshu ilikuwa na leseni za UEFA Kama sijakosea, Tena Sana Sana Ni kuhusu mechi za kimataifa na sio za ndani.

Kama Ni same scenario...kwanini Azam Fc waendelee kumngangania Bruno fery while Azam walishatolewa kwenye mashindano ya CAFCC mda TU???, Nahisi hoja YAKo bado sio sahihi mkuu samahani mkuu!!
Nimebidi nikuache na majibu yako uliyo nayo kichwani, na hadi sasa majibu unayopewa na wadau wengine ndio hayo hayo ila bado umekomaa katika kubishana. Kama lengo ni kutaka kujua basi jibu ulilopewa na wachangiaji wote ni moja na sababu iliyotolewa na watu wote ni moja la vigezo vya keseni. Kama majibu unayakata basi mwenzetu una majibu yako kichwani. Utuambie
 
Back
Top Bottom