C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Feb 4, 2024 #1 Ikifungwa watabili huibuka na kuweka itabili wao wa mwisho wa msimu. Ikishinda wanapoteaaaa. Daaaaah nchi ngumu sana hiii
Ikifungwa watabili huibuka na kuweka itabili wao wa mwisho wa msimu. Ikishinda wanapoteaaaa. Daaaaah nchi ngumu sana hiii
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Feb 4, 2024 #2 the gooners
C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Feb 4, 2024 Thread starter #3 Slim5 said: the gooners Click to expand... Ndio sisi
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,220 Reaction score 13,611 Feb 5, 2024 #4 Watu walishatabiri, chini ya Arteta hakuna kikombe chochote kikubwa kama Epl, Uefa na Europa Arsenal itakigusa. Huu utabiri unaishi mpaka sasa .
Watu walishatabiri, chini ya Arteta hakuna kikombe chochote kikubwa kama Epl, Uefa na Europa Arsenal itakigusa. Huu utabiri unaishi mpaka sasa .