Wachezaji wa Taifa Stars, Mnajifunza nini kwa Cape Verde?

Tanzania sio nchi ya soka bwana, mnapiga kelele bure na wanasiasa wa ccm nao bure kabisa kujitafutia umaarufu ambao hawana kwenye mpira.

Tanzania imebidi kuhonga mara mbili zote ndipo wafuzu kwenye mashindano ya Afcon ya 2019 na 2023 cum 2024, ile ya 1980 ndio walifuzu kihalali.
 
Ukosefu wa uzalendo

Kushiba makande

Kutopenda kujituma na uvivu na kuwaza ngono ?
Au
Akili ndogo au ni laana ya Mwenge?

Aibu kwenu
Cabo Verde ina watu laki 5 (591,000)

Tanzania ina watu milioni 60+

Nb: Wahamasishaji wa timu ya Taifa ya Tz ni Mwijaku na Babalevo, Steve Nyerere nk ( msisitizo)
 
Ukosefu wa uzalendo

Kushiba makande

Kutopenda kujituma na uvivu na kuwaza ngono ?
Au
Akili ndogo au ni laana ya Mwenge?

Aibu kwenu
Morocco, Algeria, Tunisia, Egypt na Cameroun nao wajifunze kwa nani? Nao wameshiba makande, hawapendi kujifunza na ni wavivu!?
Kabla ya kushabikia football jitahidi kuujua kwanza mchezo wenyewe.
Football iheshimiwe.
 
Cabo Verde ina watu laki 5 (591,000)

Tanzania ina watu milioni 60+

Nb: Wahamasishaji wa timu ya Taifa ya Tz ni Mwijaku na Babalevo, Steve Nyerere nk ( msisitizo)
Wahamasishaji wa Algeria ni nani na nani?
 
Morocco, Algeria, Tunisia, Egypt na Cameroun nao wajifunze kwa nani? Nao wameshiba makande, hawapendi kujifunza na ni wavivu!?
Kabla ya kushabikia football jitahidi kuujua kwanza mchezo wenyewe.
Football iheshimiwe.
Hao wote uliowataja hapo juu wameshacheza world soccer cup, na Morocco 🇲🇦 chupu chupu wangeandaa world cup, Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu,wachezaji wetu hawathamini badge ya taifa
 
Back
Top Bottom