Simba kuomba uwanja wa Amaan Zanzibar,wahuni tayari wameanza kutafuta waganga wa Pemba

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,297
3,971
Niwatahadharishe kwamba,kile mnachokikimbia Dar,tayari wahuni wapo Pemba wakitafuta kuzindika uwanja wa Amaan ili msikwepe dhahama yoyote.

Wapo wameanza kutoa misaada huko Pemba.Ni bora mpambane nao hapa hapa tu.
Hawa jamaa tangu waliposikia mnataka kuhamia Zanzibar wameanza harakati za kunajisi kisiwa kwa kafara zao
 
Kwahyo kumbe hao Yang'a wanawaogopa Simba hivyo?? Duuh....daaah...aweee
 
Niwatahadharishe kwamba,kile mnachokikimbia Dar,tayari wahuni wapo Pemba wakitafuta kuzindika uwanja wa Amaan ili msikwepe dhahama yoyote.

Wapo wameanza kutoa misaada huko Pemba.Ni bora mpambane nao hapa hapa tu.
Hawa jamaa tangu waliposikia mnataka kuhamia Zanzibar wameanza harakati za kunajisi kisiwa kwa kafara zao
Akili kisoda, ushindwe kusajili squad yenye ubora ubaki kuokoteza visababu vya kijinga kijinga, kwa aina ya viongozi mlionao na mashabiki mlivyo itawachukua miaka 20 kufanikiwa kubeba makombe Kama akili zenyewe ndio hizi!
 
Back
Top Bottom