Cape Verde kajua Kutumia AFCON

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,299
9,457
Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live.

Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi wanasikitika kuwapoteza wale warembo kwenye TV zao kuanzia Jana sasa tutaendelea kumuangalia "Mama Joy"wa SA
 
Namuomba Mungu kabla hajanitwaa nifike visiwani Cabo Verde mana sio kwa pisi zile kina sinyorita wa kwenda,hivi kwanini mchonga aliwafukuza waingereza nasi tusingekua na kina zumaridi tu sura ya baba
 
Unateseka ukiwa wap
images (2).jpeg
 
Namuomba Mungu kabla hajanitwaa nifike visiwani Cabo Verde mana sio kwa pisi zile kina sinyorita wa kwenda,hivi kwanini mchonga aliwafukuza waingereza nasi tusingekua na kina zumaridi tu sura ya baba
Waingereza Wala wasingekuwa na maajabu wale mambo ya mapenzi huwa hawahusudu
Wareno ndio funga wale hata Leo Moja ya sifa Yao ni hiyo
Ngono ,starehe n.k angalia Brazil Mozambique na Angola hata kule Guinea kote ye kaacha watu wake
 
Namuomba Mungu kabla hajanitwaa nifike visiwani Cabo Verde mana sio kwa pisi zile kina sinyorita wa kwenda,hivi kwanini mchonga aliwafukuza waingereza nasi tusingekua na kina zumaridi tu sura ya baba
Mi najipa miaka miwli TU Kisha 2026 lazima niingie na viza yao ni on arrival so pasipoti na nauli vinatosha
 
Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live.

Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi wanasikitika kuwapoteza wale warembo kwenye TV zao kuanzia Jana sasa tutaendelea kumuangalia "Mama Joy"wa SA
Nina mpango wa kwenda Cape Verde June, hope hayo maua nitayakuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom