Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu. YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
4 Reactions
11 Replies
797 Views
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo. Siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga. Naamini katika pure...
21 Reactions
66 Replies
3K Views
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa dhati kabisa ninauomba uongozi wa yanga,, ukae chini ubadilishe hii slogan ya daima mbele nyuma mwiko. Slogan hiyo imekua ikitumika vibaya kututusi wanayanga kwamba tunatembea na mwiko,, kitu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi. Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa. Huku wa Simba wakitamba kwamba...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo...
1 Reactions
5 Replies
763 Views
Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half? Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Lengo ni kutunza risiti hizi kwa matumizi yajayo maana vurugu zimezidi humu jf.
7 Reactions
26 Replies
1K Views
MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Huko kwenye page ya Yanga ni mwendo wa malalamiko ya waliolipia VIP na nyinginezo, uwanja umefungwa tangu saa 12 jioni baada ya watu wa bure 'kuteka' uwanja. Waliolipia wakapambana mwisho...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
0 Reactions
10 Replies
922 Views
KAZI tadani taidani Wapendwa watanzania, uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa na kuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio...
2 Reactions
77 Replies
9K Views
Haijakamilika Mpaka ikamilike. Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki. Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa. Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba...
29 Reactions
1K Replies
93K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…