Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria.

Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20.

Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza kupindua meza Misri vizuri kabisa.

HAIJAISHA MPAKA IISHE
 
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria,

Kwa namna ya uchezaji tuliouna simb tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20...
ha ha pole imeisha hiyo bye bye
 
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria,

Kwa namna ya uchezaji tuliouna simb tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20...
Haya convert hizo ball possession na shots ziwe goli
 
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria.

Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1 tu, total shots za simba zinakaribia 20.

Tumewakosa kosa sana haya makosa yakirekebishwa tunaweza kupindua meza Misri vizuri kabisa.

HAIJAISHA MPAKA IISHE
Kwa akili zako timamu utaweza kwenda kumtoa Aly ahly kwake? Umepigwa nyumbani kwako sebuleni kwako ukiwa na nyenzo zote, umeroga mpaka umetoa makafara lakini wapi, kule ayo utaenda kuyafanyia wapi?
 
Ni kweli hawana jipya ,, mchele mchele tu akina tau analipwa milioni 200 ni mavi tu,, ila sisi hatuna washambuliaji, kwaio watapita sio kwamba watapita kwakua wanajua mpira wa kutisha dunia na afrika bali watapita kwa uzoefu tu ..
 
Mchezaji ana miaka 38 ,Saidoo unamrekebisha kitu gani aisee..

Simba tuna magarasa mengi...na viongozi wanaohusika na usajili waache janjajanja
Kuna mda walimuonesha try again sjui na mangungu nafikir, majamaa tumekaa nao wamewatukana sana
 
Back
Top Bottom