Anachoona kanji na tunacho ona mashabiki ni vitu tofauti kabisa

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Ukiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa.

Huku wa Simba wakitamba kwamba mfupa wao washauzoea hivyo jambo lao wanalimaliza safari hii na mbwai ita kua mbwai afe kipa afe beki.

Kanji anaona tofauti kabisa.

Yeye anaona Yanga ana mfupa mwepesi zaidi kwanini Simba ana Odd kubwa kuliko mpizani wake Al Ahly licha ya kuwa nyumbani

Simba ana odd kuzidi Yanga ambae anasemwa kuwa underdog na mgeni wa mashindano

Mamelody ana odd kubwa kuliko Yanga na hii maana yake Yanga ana ingia kwenye mechi akiwa kama favourite

Sijui kanji kaangalia vigezo gani ila ninacho jua kuwa Ods zina pangwa kutikana takwimu, uwezo wa timu na historia zake.


FB_IMG_1711046616086.jpg
 
Unawashauri wafanyeje?
Msome mleta mada utaona ninachosema. Mfano anasema Mamelodi ana "odds" kubwa kwa maana hiyo Yanga ndiyo "favorites", hilo linaleta mantiki kwako? Anasema Simba ana "odds" kubwa licha ya kuwa nyumbani, hivi kuwa nyumbani si ni moja ya sababu zilizomuongezea odds Simba?

Anasema kinachosemwa mtaani na anachosema Kanji ni tofauti wakati hizo "odds" alizoleta za Kanji zinaendana na kinachosemwa mtaani.

Sijui watu wanawezaje kubeti kwa usahihi huku wakiwa na kasoro katika uelewa wa jambo muhimu kama "odds".
 
Ukiingia mtaani mashabiki walio wengi wanaamini kwamba Yanga ndio ana mechi ngumu zaidi ya Simba , mashabiki wa yanga wali ingia unyonge baada ya Droo kupangwa,

Huku wa Simba wakitamba kwamba mfupa wao washauzoea hivyo jambo lao wanalimaliza
safari hii na mbwai ita kua mbwai afe kipa afe beki.

Kanji anaona tofauti kabisa ,
Yeye anaona Yanga ana mfupa mwepesi zaidi ..
Kwanini..
Simba ana Odd kibwa kuliko mpizani wake Al ahly licha ya kuwa nyumbani .

Simba ana odd kuzidi Yanga ambae anasemwa kuwa underdog na mgeni wa mashindano

Mamelody ana odd kubwa kuliko Yanga na hii maana yake Yanga ana ingia kwenye mechi akiwa kama favourite

Sijui kanji kaangalia vigezo gani ila ninacho jua kuwa Ods zina pangwa kutikana takwimu, uwezo wa timu na historia zake.View attachment 2941091

Watengeza odds huwa wanawapata shida sana kwa timu ambazo zimekutana mara chache na especially zamani, au ambazo haziwahi kukutana. Kwa timu ambazo zimekutana mara nyingi, kwao kutengeneza odds ni rahisi maana kigezo kimojawapo ni trends za matokeo baina ya timu hizo mbili. Yanga na Mamelodi walikutana mara mbili muda miaka mingi iliyopita, lakini Simba na Al Ahly tayari wameshakutana mara sita katika miaka minne iliyopita, na hii ikikamilika watakuwa wamekutana mara nane
 
Back
Top Bottom