Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,259
- 4,125
Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo.
Siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga.
Naamini katika pure investment kwenye watu wenye uwezo. There is no way Yanga anaweza kumtoa Mamelodi hata kama Kesho atashinda goli 1. Chances ni ndogo but it can be done.
Hivyo hivyo kwa SSC hata kama angeshinda, there is no way atamtoa Ahly.
hajawahi kufanya hivyo na sio mara ya kwanza kuchezea nae hatua hii, sisi watu wa probability tunasema Common things happen commonly , asimilimia 97 , Simba atatolewa kama kawaida.
The knocking stage huwa inaamuliwa na uwezo binafsi wa wachezaji.
Angalau Yanga ameshaona a glimpse, Yanga anaweza kuja kuwa timu ya ushindani in the near future barani Aftica kwa sababu huwa wanatulia sana kwenye sajili na wnaatumia hela.
Unlike SSC, haina cha kujifunza na mwendo ni uleule wa kufa kiume.
Yanga ndio robo yake ya kwanza tangu 98, hata akitoka naamini watakuwa wamejifunza kitu, tofauti SSC .
Siwezi kuijadili SSC wala kuipa ushauri, ni timu inayoongozwa na mbumbumbu na wapo kwenye comforts zone yao na pia hawana accountability structure kwa viongozi.
mashabiki wa mbumbumbu mkipiga snaa kelele, atafukuzwa kocha, au baadhi ya wachezaji watatolewa kafara kama kina baleke na phiri, mtaletewa uharo, ataitwa Ahmed Chizi awafanyie promo….. imeisha.
But the real problem halipo hapo, the real problem ni management ya SSC and these people need to get out.
Nasema na nyinyi Yanga, ili muweze kuamua mechi kama hizi za knocking out , ni lazima muwe na wachezaji angalau 3 wenye uwezo binafsi na hapo pesa inawatoka sio wale ambao wamekosa timu wapo wapo kama wanavofanya mambumbumbu.
Ninaamini uwezo wa Said , kama Rais wa Yanga, he is always a good learner.
Naambiwa Ahmed Chizi kaja na mpya, kwamba ataenda kufanya maajabu Cairo , huyu jamaa alisoma Hadi level gani?