Kuiona Yanga vs TP Mazembe bure, njooni kwa wingi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,569
KAZI tadani taidani

Wapendwa watanzania, uongozi wa Yanga kwa moyo mmoja umekaa na kuona tunaitaji watanzania wengi kuona mechi zetu

Hivyo basi mechi ya yanga na TP Mazembe tumeondoa viingilio kila mtu ataingia buure na atakaekuuliza tiketi piga mayowe vijana watakuja kuwasaidia.

Timu ni ya watanzania wote, wapo waliotamani kuiona Yanga lakini kwa sababu fulani wangeshindwa sasa tunawakaribisha wooote.

Imetolewa na msemaji mkuu Yanga

Jerry C Muro
 
Wana body nimelipata hili nimeona nililete humu jamvini kwa wanamichezo .nakuona jambo hili limekaaa kiuzalendo zaidi kwani Watanzania wengi tu napenda Mpira ila kinatushida kiingilio tuu maana hali ni ngumu sana lakini hili la Yanga nawasapoti sana nashauri TFF wafanye hivi kwenye mechi za kimataifa ili twende kwa wingi kuishangilia timu yetu kama mataifa mengine yanavyofanya.

Nawakilisha.
 
Hizo fedha mngewekeza kwenye kutafuta vipaji na sio kuwapamba magalasa mliowaokota mnakofahamu wenyewe. Ajabu na aibu nim kua mtaishia kufungwa. Soka la bongo ni la kudanganyana na kutafuta umaarufu. hasa hasa kwa viongozi..
 
AHAHAHAHHAHA...NIMEISHIA KUCHEKA MWENYEWE.

KWELI HASIRA ZA MKIZI FURAHA KWA WAVUVI.... HAPA YANGA WANAMWAGA MBGA BAADA YA TFF KUMWAGA UGALI. YETU MACHO NA KUANGALIA SHOW LINAVYOKWENDA.
 
Hizo fedha mngewekeza kwenye kutafuta vipaji na sio kuwapamba magalasa mliowaokota mnakofahamu wenyewe. Ajabu na aibu nim kua mtaishia kufungwa. Soka la bongo ni la kudanganyana na kutafuta umaarufu. hasa hasa kwa viongozi..
Kawekezeni za kwenu (if any).
 
Usalama utakuwaje? Hii Vita ya yanga Na TFF sijui itaisha lini.!
 
Usalama utakuwaje? Hii Vita ya yanga Na TFF sijui itaisha lini.!
Wakubali pia kama kikitokea kitu chochote uwanjani kibaya au maafa ambayo hatuombei au hata vitu kuharibiwa uwanjani basi wawajibike pia maana kuachia uwanja bure ina maana hakuna control kila mtu ana haki ya kuingia si bure ila hatari ni kubwa kuliko wanavyofikiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom