Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tupo uwanjan saiv na astonvilla,kipindi cha kwanza tayari 0-0.Ila miamba hawa tupo sare kwa point 51,City 61 na arsenal 71. Naomba mungu tutoke hata moja 1-0 ilitusalie top...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo...
3 Reactions
18 Replies
512 Views
AFCON 2025 Final Preview: Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira...
3 Reactions
363 Replies
8K Views
  • Redirect
Morocco wameatangazwa washindi wa AFCON baada ya matokeo ya fainali kubadilishwa na CAF. Senegal wameazimiwa kuanguka mechi, na Morocco wamepewa ushindi wa 3-0 kama ilivyotolewa kwenye taarifa...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa mujibu wa kanuni na mikataba ya uenyeji ya CAF, nchi inayopata nafasi ya kuandaa AFCON hulazimika kusaini makubaliano ya uenyeji yanayojumuisha majukumu mbalimbali ya kifedha. Miongoni mwa...
1 Reactions
7 Replies
426 Views
•Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu • Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa...
0 Reactions
7 Replies
348 Views
Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos. Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na...
1 Reactions
5 Replies
287 Views
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Pamoja na mechi ya Azam vs Yanga kutangazwa kuliko vita vya Iran lakini mwitikio wake imekuwa Duni mno, Hakuna watu uwanjani na Wala ufuatiliaji wake kwenye TV ni kiduchu mno. Wachunguzi wa Mambo...
16 Reactions
23 Replies
614 Views
Mradi huo unaojengwa Fumba kisiwani Unguja, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani milioni 150 (Sh388.8 bilioni za Tanzania) ambao unalenga kuvutia watalii watakaofika kushuhudia mashindano hayo...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
2 Reactions
30 Replies
2K Views
UPDATES 👇 Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani. Yanga SC ni wageni...
1 Reactions
8 Replies
378 Views
One Word for Him?
10 Reactions
16 Replies
419 Views
Hii ni kweli kabisa shetani makazi yake ni kwenye betting. Shetani anasingiziwa mengi tu kwenye zinaa, mauaji, wizi n.k. Ila shetani makazi yake rasmi ni kwenye betting. Shetani ni mpuuzi sana...
9 Reactions
30 Replies
742 Views
Ni kipaji cha hali ya juu kama sio upendo wa agape. Niwapongeze mnaoenda uwanjani kuangalia mechi za usiku Mbarikiwe sana sana Mnaofunga mpoo uwanjan nanyi Comgola yenuuuu
1 Reactions
5 Replies
193 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema nyasi za Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kupandwa upya. Makonda amesema hayo leo wakati akizungumza na viongozi wa...
1 Reactions
9 Replies
263 Views
Utani wa Mwigulu Nchemba kwa Klabu ya Simba, "Sasa hivi hawana Mshambuliaji"
2 Reactions
2 Replies
369 Views
Kamari ni mchezo mgumu sana lakini angalau kwa mbali ni bora kucheza kamari ya kutabiri, mfano michezo ya kutabiri matokeo ya mpira, ukitabiri team flani ishinde, kila timu ifunge goli, n.k...
8 Reactions
6 Replies
415 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32...
1 Reactions
13 Replies
626 Views
Waziri wa habari, sanaa,utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuna timu iliingia uwanja wa Benjamini Mkapa, ikachimba Nyasi za uwanja na kuweka dawa ambazo zimesababisha uwanja kuzalisha...
1 Reactions
21 Replies
559 Views
Back
Top Bottom