Tulishindwa uwanjani kila mtu anajua-Ashraf Hakimu

Tulishindwa uwanjani kila mtu anajua-Ashraf Hakimu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
KUMEANZA KUCHANGAMKA HUKO
Achraf Hakimi baada ya CAF kutoa uamuzi wa kuwapa Morocco ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuwanyima Senegal taji kwa sababu ya Sababu za Kugomea Mchezo.

🗣Kwa kweli, haileti Picha Nzuri. Tulishindwa mechi uwanjani na kila mtu anajua hivyo Sielewi kwanini CAF waliamua kuibadilisha baadaye.”

đź—ŁKuambiwa kuwa wewe ni mabingwa miezi kadhaa baadaye haimaanishi ulishinda mechi kwa kweli.

#MagugeMedia
 
Kama namwona motsepe
 
Wameanza kuvurugana kama wajenzi wa mnara wa Babel. Na bado.
 
Wangemfungia refa kwa kushindwa kutafsiri sheria za mpira:
Refa ndio mwamuzi wa mwisho:
Goli la mkono la Maradona liliwapa ubingwa:
UKITAKA KUJUA WANAFIKIII
ZNZ RIPOT WALISEMA GOLI LILIKUWA HALALI

WASEME NA PENALTY ILIKUWA HALALI OOH WAMESHINDWA..NYO....ZAO
 
Huyu amewahi kuwepo CAS anasema mwamuzi ndiye final say uwanjani.

SASA kuwahukumu Senegal NI kuwaonea! Senegal ni bingwa halali.

Wacheze na mwamuzi wao kama bodi ya ligi HAPA inavyowapiga ban ma fine kwa kushindwa kutafsiri Sheria na kanuni za soka,matokeo yanabaki vilevile.
 
Attachments

  • 1773949934740.jpg
    1773949934740.jpg
    139.1 KB · Views: 16

Similar Discussions

Back
Top Bottom