Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila siku mamilioni ya watu duniani hufuatilia football predictions wakitumaini kupata ushindi mkubwa. Lakini ukweli ni kwamba bettors wengi wanaofanikiwa kwa muda mrefu hutegemea analysis...
0 Reactions
3 Replies
155 Views
Baada ya kuifunga Sports Club Villa kwenye Uwanja wa Nakivubo, kwa magoli mawili ya Said Mwamba na. Edibilly Lunyamila kwenye fainali ya michuano ya Klabu bingwa ya Africa Mashariki na ya kati...
8 Reactions
26 Replies
766 Views
Duchu ndio kusema alikuwa anawasubiri Loemba na Gomez ili tu...awasaidie goli Lao walilokuwa wameliplani walipokuwa pale nje....Goli walilokuwa wamelichora..! Salute kwao goli La tatu ...Loemba...
2 Reactions
6 Replies
342 Views
Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Xabi Alonso kama kocha wao mpya Je ni Chaguo Sahihi!? Xabi Alonso ni kocha bora sana kimkakati, na baadhi ya watu wanasema angepaswa kusubiri kazi...
2 Reactions
18 Replies
388 Views
  • Featured
Mastaa wakubwa duniani Madonna, Shakira, na kundi la BTS wataongoza jukwaa siku ya fainali ya Kombe la Dunia Julai 19, 2026 huko New Jersey, Marekani. Michuano hii mikubwa inaandaliwa kwa...
10 Reactions
20 Replies
701 Views
1. Mimi ni shabiki wa Yanga. 2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha...
2 Reactions
17 Replies
600 Views
Hii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika. Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la...
5 Reactions
21 Replies
497 Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema kuna timu waliwahi kung'oa viti, kitendo kile sijasahau na upelelezi unaendelea.
3 Reactions
10 Replies
364 Views
  • Poll Poll
Clatous Chama alimkuta Emmanuel Okwi “EO7” Simba Sports akiwa tayari ana ufalme wake ndani ya nyoyo za mashabiki. Wakati Emmanuel Okwi anaondoka Simba, alimwachia Clatous Chama “kofia ya ufalme”...
5 Reactions
14 Replies
567 Views
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza 1. Viongozi msimpe lawama yoyote...
10 Reactions
28 Replies
738 Views
Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup. Tukutane hapa kwa live updates! Kocha Pep Guardiola...
3 Reactions
30 Replies
501 Views
AP | May 17, 2012 12:38:29 ARUSHA, Tanzania (AP) — Former Rwanda soccer captain Patrick Mafisango has died in a car crash in Tanzania. He was 32. Mafisango's death early Thursday was...
0 Reactions
117 Replies
21K Views
Chelsea Football Club is delighted to announce the appointment of Xabi Alonso as Manager of the men’s team. The Spaniard will begin his role on July 1, 2026, having agreed a four‑year contract at...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026. ######### Yanga yupo...
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia Nadhan huyu yupo kwa ajil ya...
10 Reactions
35 Replies
859 Views
Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau...
1 Reactions
51 Replies
1K Views
Licha ya kuwa timu ngumu inapocheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa FC imekubali kupoteza kwa magoli 3-0 dhidi ya Simba ambayo imeendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuutafuta...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Wafaransa mtatoboa kwa kikosi hiki?
3 Reactions
6 Replies
198 Views
Back
Top Bottom