AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,017
- 5,146
Soka la sasa limetawaliwa na peni zaidi kuliko vipaji kwaiyo msimu huu tusitegemee namba 9 asili,tusitemegee kuona wapiga vichwa hodari,tusitegemee wawinga wengi wanaokimbia kushoto na kulia ingawaje watakuwepo ila wachache sana,
Tusitegemee kuona vipaji vya kupiga mashuti mazito maana sikuiz makocha wanaona ukipiga shut na kukosa nisawa na kupoteza mpira
Tusitegemee kuona vipaji vya kupiga mashuti mazito maana sikuiz makocha wanaona ukipiga shut na kukosa nisawa na kupoteza mpira