Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mwaka 2012 nikiwa kidato cha nne nilitumia likizo yangu mkoano mwanza ..Uko nilipata fursa ya kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Jimbo cup yaliokua yakiandaliwa na mbunge wa ilemela kwa...
1 Reactions
4 Replies
201 Views
Safari ya Ureno kuelekea ndoto ya kutwaa taji lao la kwanza kabisa la Kombe la Dunia inaanza kwa kibarua kigumu dhidi ya Croatia katika mchezo wa hatua ya 32 bora utakaochezwa kwenye Uwanja wa BMO...
1 Reactions
8 Replies
251 Views
Endapo wachezaji wawili au zaidi watafunga idadi sawa ya mabao kwenye Kombe la Dunia, mshindi wa Golden Boot (Mfungaji Bora) hupatikana kwa vigezo vifuatavyo, kwa mpangilio huu: Aliyetoa pasi...
4 Reactions
4 Replies
228 Views
Unabii wowote unaotolewa kwa Jina la BWANA hupimwa kwa NENO la Mungu yani BIBLIA. Nina uhakika nabii Denis hawezi kubisha kigezo hiki. Twende kazi: 1. Unabii alioutoa ni SIMBA NI BINGWA 2026. Je...
0 Reactions
9 Replies
184 Views
Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri...
0 Reactions
35 Replies
845 Views
Kiungo wa Senegal Pape Gueye amechapisha ujumbe kwenye insta story yake akiweka wazi kutitoa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal hadi benchi la Ufundi litakapofanyiwa mabadiliko...
0 Reactions
6 Replies
346 Views
Belgium na Senegal Kukutana Katika Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026 Belgium walijihakikishia kumaliza kileleni mwa Kundi G baada ya ushindi mnono katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi...
3 Reactions
109 Replies
2K Views
Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni...
2 Reactions
6 Replies
150 Views
Timu ya taifa ya Morocco anasonga mbele katika hatua inayofuata baada ya kumuondoa Uholanzi kwa mikwaju ya penati 3 kwa 2 Morocco linemekuwa taifa la kwanza kutoka Afrika kusongea hatua nyingine...
1 Reactions
28 Replies
475 Views
Magoli kama yale ya Azam dhidi ya Yanga ya mda mfupi uliopita si rahisi kuyafunga, yalikuwa mengi sana 😅⚽️ Magoli matatu si mchezo! Wewe umecheza mechi gani ukafunga magoli kwa ufanisi kama...
17 Reactions
136 Replies
1K Views
Karia maneno yamekuwa mengi sana embu fanyeni kweli basi maana kuna kitimu kimesema wamekosa ubingwa kwa sababu ya waamuzi ================ RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Ukisikia wema na uungwana kwenye mpira ni huu. Hongera kwa kuonyesha upendo kwake ===== Mchezaji wa JKT Tanzania FC, Hassan Wahabi (Mwenye kanzu nyeusi), akiongoza dua, kumuombea Mchezaji wa...
2 Reactions
9 Replies
314 Views
Miaka ya nyuma kidogo Mtibwa ilikuwa kiwanda cha wacezaji wakubwa, sasa hivi imebaki kuwa ya kupanda na kushuka
2 Reactions
19 Replies
290 Views
England wanatarajia kuonyesha kiwango bora zaidi wanapoanza hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia 2026, wakisafiri hadi jijini Atlanta kukabiliana na DR Congo katika mchezo wa hatua ya 32 bora. Licha...
2 Reactions
89 Replies
1K Views
Je kwanini Ronaldo wa 20's still anaonekana bora licha ya kuwa kitakwimu zinambeba Mbappe Jibu fupi ni: Ronaldo wa 20’s zake alipimwa kwa zaidi ya “namba”, Mbappé anapimwa zaidi kwa “takwimu”. Na...
2 Reactions
7 Replies
237 Views
Spain na Austria Wakutana Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026 Mabingwa wa Ulaya, Hispania, watachuana na Austria katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 utakaopigwa jijini Los...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Shabiki wa Simba Pacha ameshauri viongozi wake wakamuombe GSM astaafu ili waweze kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC. #ScopeMedia Je wanasimba wameishiwa mbinu zote za kubeba ubingwa Hadi kutaka...
0 Reactions
14 Replies
155 Views
Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi Mangungu anahojiwa baada ya...
6 Reactions
16 Replies
301 Views
Leo majira ya saa kumi kamili Mnyaama ataenda kummalizia KMC hasira zote za kukosa ubingwa msimu huu
2 Reactions
22 Replies
452 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…