Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za...
9 Reactions
30 Replies
366 Views
Lile tukio hadi leo hua linakuja kichwani nachek aisee. Mwenye ile picha aipost hapo chini nicheke tena😂😂 Yule mzee thinking ni ndogo kabisa, na yule mzeee ni shabiki Simba sio mwana chama wa...
4 Reactions
54 Replies
888 Views
Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji...
7 Reactions
47 Replies
799 Views
Kwa asiyemjua basi jaribu kugoogle interviews zake utapata wasaa wa kutabasamu sana. Anafurahisha huku akitia facts za maana sana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Mabingwa watetezi, Yanga wameichapa 3-1 timu ya Namungo kwenye uwanja wao nyumbani. Yanga imeanza ligi kuu kwa mguu mzuri baada ya kushinda mechi yao ya kwanza wakiwa ugenini na kuvuna alama 3...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Kiungo mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, amerejea tena katika Klabu ya Yanga SC baada ya kuacha alama kubwa katika kipindi chake cha awali ndani ya timu hiyo. Aziz Ki aliitumikia...
8 Reactions
17 Replies
430 Views
Arsenal bingwa Ngao ya Jamii 2026 == NANI ATAONDOKA NA KOMBE LA KWANZA LA MSIMU? Ni mabingwa wa Premier League dhidi ya washindi wa FA Cup katika pambano la kuwania kombe la kwanza la msimu...
4 Reactions
47 Replies
730 Views
Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar. Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda...
10 Reactions
385 Replies
9K Views
  • Poll Poll
Je, ipi ni Marathon kubwa zaidi Tanzania? Kilimanjaro Marathon au NBC Dodoma Marathon au CRDB Marathon? Kwa miaka kadhaa sasa, Tanzania imekuwa na mbio za marathon zinazovutia maelfu ya washiriki...
5 Reactions
87 Replies
2K Views
Tanzania utani ni mwingi sana. Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
5 Reactions
12 Replies
488 Views
  • Redirect
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026. Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe...
2 Reactions
– Replies
– Views
Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri. Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya...
6 Reactions
26 Replies
756 Views
Unapochambua mpira sahau kuwa unashabikia timu gani, chambua mpira tu kwakuwa kusema ukweli hakutasababisha timu yako ishinde au ishindwe. Wachambuzi wengi wa hivihivi walikuwa wakimdogosha kocha...
4 Reactions
7 Replies
323 Views
Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa ========= Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026...
1 Reactions
8 Replies
311 Views
Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25...
3 Reactions
10 Replies
360 Views
Simba timu yangu nashindwa kuwaelewa kabisa inamaana hata AZIZI KI hawamuoni na hawajui libya usalama mdogo wanaweza mshawishi chap kuja daslam?
3 Reactions
11 Replies
350 Views
Bila kupoteza muda Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo Mpk sasahivi viongozi...
5 Reactions
39 Replies
713 Views
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu...
2 Reactions
6 Replies
129 Views
Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu. Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu...
0 Reactions
8 Replies
197 Views
Leo ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza na Azam wameonesha mechi zote vizuri sana.Nimefurahishwa sana na muonekano mpya wa studio zao,tofauti kabisa na ule muonekano wa studio walipokuwa wanainesha...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…