Wachambuzi msijimalize mnapoichambua Yanga.

Wachambuzi msijimalize mnapoichambua Yanga.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,153
Reaction score
16,849
Unapochambua mpira sahau kuwa unashabikia timu gani, chambua mpira tu kwakuwa kusema ukweli hakutasababisha timu yako ishinde au ishindwe.

Wachambuzi wengi wa hivihivi walikuwa wakimdogosha kocha wa Yanga, Mangoba dhidi ya Barker bila kujali wachezaji walioko kwenye vikosi vyao. Uchambuzi wa aina hii unaidhoofisha Simba na Kuiimarisha Yanga.

Wachambuzi jiendelezeni kwenye kazi yenu.
 
Tatizo ni kuiimarisha Yanga? mbona Simba ikiimarishwa haulalamiki?
 
Back
Top Bottom