FT | Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi ya NBC | Uwanja wa Kaitaba | Kaitaba ni Nyekundu

FT | Kagera Sugar 0-2 Simba SC | Ligi ya NBC | Uwanja wa Kaitaba | Kaitaba ni Nyekundu

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
13,324
Reaction score
37,741
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.

1786883131103.png

Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27.

📅 Leo, 16 Agosti 2026
🏟️ Uwanja: Kaitaba Stadium, Kagera
🏠 Mwenyeji: Kagera Sugar FC
🆚 Mgeni: Simba SC
⏰ Muda: Saa 10:00 jioni

🔥 Mchezo wa kwanza wa ligi kwa kila timu — nani ataondoka na pointi tatu?

Simba akifungwa mnipige ban la mwaka

Kikosi cha Kagera Sugar FC

1786883395667.png

Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo, Mwamba wa Lusaka CHAMA amempisha Morice kwenye kikosi kinachoanza;

Kikosi cha kufungua msimu. #NBCPremierLeague #NguvuMoja.jpg

Mechi imeanza, tuone leo mambo yatakwenda vipi?

2' Kagera wanapata Kona
6' Simba wamepiga Kona 2
30' Milango ya timu zote haijafunguka huku kila timu ikigonga hodi
45' Simba wanapata Kona
45+1' Goooal - Toure (Kichwa-Assit ya Libasse)

MAPUMZIKO |
Kipindi cha kwanza kimekamilika baada ya dakika 4 kuongezwa

56' Duchu - Kadi Nyekundu
 
Ligi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.

MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.

Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Mwana Simba mwenzangu vp huko fei yupo au ndoto.?
 
Ligi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.

MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.

Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Tuko na Doumbia na Mangungu hadi kieleweke.
 
Ligi ndyo inaanza leo nyingine zilikuwa bonanza tuView attachment 3651239
Mtanange mkali sana leo.
16/08/2026.

MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.

Simba akifungwa mnipige ban la mwaka
Nabet
Simba ifungwe nne, ila Ibrahim Doumbia afunge matatu, muanze rasmi kumuheshimu
 
Eeh Simba kwenda Kaitaba sio safari rahisi hiyo, Kagera wapo moto sana nyumbani. Ngoja tuone kama Kaitaba atatoa kama walivyokuwa wakitoa siku za nyuma, hii ligi imekosa ladha kweli.
 
Niwakumbushe kuwa tayari Yanga ana goal difference ya mbili. Sasa endeleeni kucheza mkifunga kagoli kamoja mme relux
 
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27.

📅 Leo, 16 Agosti 2026
🏟️ Uwanja: Kaitaba Stadium, Kagera
🏠 Mwenyeji: Kagera Sugar FC
🆚 Mgeni: Simba SC
⏰ Muda: Saa 10:00 jioni

🔥 Mchezo wa kwanza wa ligi kwa kila timu — nani ataondoka na pointi tatu?

Simba akifungwa mnipige ban la mwaka

Kikosi cha Kagera Sugar FC

Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo, Mwamba wa Lusaka CHAMA amempisha Morice kwenye kikosi kinachoanza;

Mpanzu na Chama waliokiwasha sana msimu uliopita, wameanza tena kusugua benchi!
 
Kila la kheri mnyama wa nyikani.
Gonga hao wasaga miwa wa Kagera
 
Back
Top Bottom