Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani. Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na...
22 Reactions
51 Replies
3K Views
Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu...
9 Reactions
67 Replies
7K Views
Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni; "Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi...
0 Reactions
4 Replies
636 Views
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani. Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika...
1 Reactions
16 Replies
910 Views
"Tukifika robo fainali tutakua tumefikisha jumla ya alama 39 na kua nafasi ya 5" "Tutakua tumetengeneza historia kuwa Club ya Kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5" "Lakini kubwa zaidi tutapata...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Nimekuwa navutiwa sana na kiungo huyu lkn hapewi nafasi, ni fundi kweli wa mpira lakn anawekwa benchi na wakati mwingine hata benchi hakai
2 Reactions
6 Replies
629 Views
Limeanza kutamba eti yanga ni halali yao. Shida ni kunywimwa pesa lilizoba kwa injinia kwamba linadaiwa kodi ya pango,basi limeweka nongwa ya kuisakama yanga
0 Reactions
8 Replies
804 Views
Sikali ilivyosaini mkataba wa Bilioni 32 ukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ilisaini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa...
1 Reactions
3 Replies
423 Views
Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie. Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
1 Reactions
17 Replies
525 Views
Habari wadau! Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga. Huku ni kupenda timu yako bila...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu. Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za...
63 Reactions
152 Replies
9K Views
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!! Daima...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea Mno Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Utakumbuka wakati wa Mwinyi Zahera hapo zamani hawa Stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Back
Top Bottom